Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kimekuonyesha na kukufanya uthibitishe kifo cha CHADEMA?Chadema ilishajifia na CCM imejichokea tuna bahati mbaya Sana kukosa chama makini cha siasa
Maandamano hayakuungwa mkono kama kawaidaNini kimekuonyesha na kukufanya uthibitishe kifo cha CHADEMA?
Hiyo ndo sababu chama kimekufa? Reasoning yako siyo sahihi hata kidogo.Maandamano hayakuungwa mkono kama kawaida
Maandamano hayakuungwa mkono kama kawaida
View attachment 3122530
Naona kila mtu yupo busy na Landlover festival.
Makamanda Arusha tupeni feedback ya mkutano wa Lema wa juzi.
Au ndio kashapotezwa na Makonda kwa kukubalika kwa Makonda?
Chadema ilishajifia na CCM imejichokea tuna bahati mbaya Sana kukosa chama makini cha siasa
Subiri matusi tu hapo mkuu maan hoja hawana wanasubir upepo wa kutrend nao wajulikane kama nao wapo
Hukuona polisi walivyoitikia na kuandamana kwa wingi?Maandamano hayakuungwa mkono kama kawaida
Lema hanaga hoja za kueleweka zaidi atatukana na kuondoka
Kwa kifupi ni kuwa hako ka-chama ni kwishnei kabisa
Hivi Lema bado ana huo mkia tulioambiwa kaota?