econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Maandamano hayakuungwa mkono kama kawaida
Yalipigwa marufuku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maandamano hayakuungwa mkono kama kawaida
Mlipewa na ulinzi wa polisi Mbalizi hadi Mbeya.Maandamano yalipigwa marufuku. Ulitakaje?
Ilikuwa tu kuwaonyesha kuwa Dola ipo......only that!Kwishnei halafu walitangaza maandamano mkayapiga marufuku Tena Kwa vitisho na kujaza mapolisi.
Huu ndio ukweli tunahitaji chama kipya kama vijana wa Senegal, Sri Lanka na Bangladesh,mawazo mapya kama ya vijana wa Kenya, vyama ambayo havijikita kidini, kikabila, kikanda, kibaguzi wa aina yoyote ile.Chadema ilishajifia na CCM imejichokea tuna bahati mbaya Sana kukosa chama makini cha siasa
Vyama vya upinzani vilisema JPM anauwa upinzani kwa kuwanyima mikutano ya hadhara, mama kaingia kawarugusu wafanye mikutano yao ndio wamezidi kupotea kabisa, sasa hapo shida ni JPM au ni wao wenyewe kuna mahala wameteleza ila ndio hivyo hawakubaligi ushauri.
Mlipewa na ulinzi wa polisi Mbalizi hadi Mbeya.
Mijitu ilikuwa hoi bin taaban. Sidhani kama wataurudia upumbavu huu
Ilikuwa tu kuwaonyesha kuwa Dola ipo......only that!
Huu ndio ukweli tunahitaji chama kipya kama vijana wa Senegal, Sri Lanka na Bangladesh,mawazo mapya kama ya vijana wa Kenya, vyama ambayo havijikita kidini, kikabila, kikanda, kibaguzi wa aina yoyote ile.
Movements hizi zilijikita zaidi kupigania rasilimali za Taifa, utawala bora, ajira, inflation kushuka nk.
Kiukweli hatuhitaji chama Bali movement ya Watanzania wote itakayoongozwa na vijana. Baadaye wakiitoa hii serikali madarakani wataunda kundi, chama kuwaunganisha wote.
Niwekee hata sehemu moja nilipo mkebehi Mbowe, Lissu, huwa mnaongea hivi mkitukana yoyote aliye neutral. Tuhuma za uongo, uzushi, wabobezi kwenye hilo.Anzisha hicho chama Sasa. Shida mmelala ndani mnasubiri individuals wajitolee muwatukane na kuwacheka. Lissu alilimwa Risasi wewe ukawa msari wa mbele kumkebehi, Mbowe kapewa kesi ya ugaidi ila ukamkebehi. Leo unaleta stori za kinafiki. Anzisha hicho chama Kama utaweza. Hizo nchi ulizotaja Zina mfumo mzuri wa kikatiba sio kama bongo ambapo kikundi Cha watu wachache wanaamua matokeo ya uchaguzi kama 2020.
Nitaongea na wewe ukitoka hospitali, ni dhahiri upo wodini umelazwa.Dola ipi? Hii ya mtu kushushwa kwenye basi na kuuawa? Hii ambayo hajui nani mwizi wa Kodi mpaka mama yenu analia?. Dola gani?. Dola ambayo ipo kwa ajili ya kuwaumiza CHADEMA. Punguza unafiki
Wewe kiongozi wa Chadema nahisi wewe ni Lema, una tofauti gani na mleta mada kwa mada zako hapa JF? Wewe hata ukipewa kijiji utaajiri watu wako, kabila, dini, Kanda yako wengine wote utafukuza. Una tofauti gani na CCM.Mleta mada ni mnafiki wa kwanza duniani.
Makamanda wanzio wote wameshochoka umebaki pekeyako mkuu, hongera sana.Mleta mada ni mnafiki wa kwanza duniani.
Hatimae machali wameshtuka baada ya siasa za kipuuzi kwa zaidi ya miaka ishirini (kupinga kila kitu).Kibaya zaidi hizi siasa za kupinga kila kitu zilikuwa zinaratibiwa na kilaza eliefeli kidato cha nne na hakutaka kuniendeleza kielimu (LEMA).View attachment 3122530
Naona kila mtu yupo busy na Landlover festival.
Makamanda Arusha tupeni feedback ya mkutano wa Lema wa juzi.
Au ndio kashapotezwa na Makonda kwa kukubalika kwa Makonda?
Mangi una roho ngumu sana aisee?Punguza umbea. Na ametukana. Shida hamjiamani kila jambo mnalofanya mnajilinganisha na CHADEMA