Wana Jamiiforums wengi mna akili za kitoto sana halafu nawashangaa na Nyinyi mnakuja na hoja za Kitoto tena za Kijinga mnooo. Hivi unawezaje kuilinganisha CCM na CHADEMA? 😅😅😅
Yaani ni ujinga na utoto mwingi sana na watu wamekomaa na kuanzisha uzi na watu nao wanajibu. Kiuhalisia CHADEMA ndiye anayeleta Upinzani kwa CCM maana kuna vyama vingine vya Upinzani lakini ikizungumziwa siasa za Tanzania hasa kwa Chama kama CCM kukilinganisha na CHADEMA na sio ACT,CUF,CHAUMA hiyo ni ishara ya kuonesha CCM ina upinzani mkali sana. Wanajamiiforums nao hata jinsi ya kuwasilisha maada zao ni shida tupu inakuwa kama tupo kwenye zama za Ray na Kanumba au Diamond na Ali Kiba?