Hii nchi Samia asingeinusuru baada ya torture tulizozipitia surely akina tundu lisu na lema au mbowe wangekuwa bado wako ughaibuni kuogopa kuuawa.
Hii nchi mama kaitoa mbali sana tulikuwa tunaishi kama vile tuko motoni. Ukiamka hijui kama leo ni zami yako kutekwa au la.
Hata information muhimu tulikuwa hatupai kabisa mana magazeti yale ya kuibua madudu yalifungwa kama.vile tanzania dima, mawio, jamhuri nk. Leo yanaandik chochote
Watu tunafurahia maisha biashara zimerudi kama zamani, mahoteli yaliyofungwa kibabe yamerudi kam ngurdoto nk.
Viwanda vilivyofungwa kinzazi kabisa vina operate sasa hivu kama viwanda vya chunvi kule bagamoyo.
Hakuna ubabe tena tulikuwa tumezoea na nchi imetulia sasa mjinga mmoja anayeitwa makonda anataka kuichafua tena nchi.
Hata maaskofu kanisa katoliki hawakupenda kabisa uongozi wa jiwe ndo mana nyaraka zililuwa nyingi. We mtu gani ukikosolewa unatishia kushila pasport kama laivyofanya kwa ask. Niwemugizi na kakobe.