Makonda hafai kuwa kiongozi kabisa. Uongozi unahitaji busara na hekima kama Rais Samia alivyo

Makonda hafai kuwa kiongozi kabisa. Uongozi unahitaji busara na hekima kama Rais Samia alivyo

Hii nchi ukiwa na busara sana wanakuona mjinga, dawa kiburi ni jeuri... Makondq yuko sawa!!!
Ncho siyo familia ndugu yangu ina mchanganyiko wa wehu na welevu kama rais lazima ujue hilo
 
Jamii inahitaji sana watu kama aina ya Makonda.
Ubabe wake unasaidia sana wanao onewa.
Kuna mijitu ina fedha na wanatumia uwezo wao wa kifedha kuonea na kuwadhulumu wanyong'e wasio na uwezo.
Kuna mijitu inatumia madaraka yao kuwadhulumu wasio julikana.
Kama tutakuwa na viongozi wa aina ya Makonda basi uonevu na dhuluma zitakwisha kabisa.

Kama ningekuwa na uwezo wa kuteua basi Makonda anafaa kuwa Waziri kamili.
Vp makonda nae akiwa muonevu kwa wengine
 
Back
Top Bottom