- Thread starter
- #41
Hakuna mwenye cheti feti tz ilikuwa chuli za yule bwana kwa asiowapendaBasi wewe itakua vyeti feki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwenye cheti feti tz ilikuwa chuli za yule bwana kwa asiowapendaBasi wewe itakua vyeti feki.
Kwa ambao kero zao zimetatuliwa vile unawaambiaje?Kero za wananchi hazitatuliwi vile.
Siasa zile. Walikuwa wanapangwa ili ijulikane ni kero kumbe ni kiini macho. Tunamjua yule bwana mdogo ni sawa na akina mwamposa wanaopanga watu ili wadondoke ibada ikiwa inaendeleaKwa ambao kero zao zimetatuliwa vile unawaambiaje?
Fuatilia hiyo kesi haiwezi kuwa kujiuza utaona kosa wanaloshtakiwa nalo ni uzembe na uzurulaji.Ndiyo. Wanasheria watajua vifungu ni vipi vya kuwavictimise. We na mimi hatuwezi kujua mana siyo wanasheria. Sheria ni profession siyo kila mtu anajua
Wao hawafanyo mapenzi bali wanajiuza. Kujiuza kuna katazwa. Kumbuka inaitwa law and ethics. Vuyote vinaenda pamoja. Kuna kitu kinaitw customary lawFuatilia hiyo kesi haiwezi kuwa kujiuza utaona kosa wanaloshtakiwa nalo ni uzembe na uzurulaji.
Hakuna mtu alishtakiwa kwakufanya mapenzi na mtu mwingine kwa hiari wakiwa ni watu wazima wasio na kipingamizi chochote iwe kwa malipo au bure.
Labda ingekua wanafanya mapenzi hadharani linakua ni kosa.
Samia huyu anayemtazama tu Bashe akiizamisha meli??Hii nchi Samia asingeinusuru baada ya torture tulizozipitia surely akina tundu lisu na lema au mbowe wangekuwa bado wako ughaibuni kuogopa kuuawa.
Hii nchi mama kaitoa mbali sana tulikuwa tunaishi kama vile tuko motoni. Ukiamka hijui kama leo ni zami yako kutekwa au la.
Hata information muhimu tulikuwa hatupai kabisa mana magazeti yale ya kuibua madudu yalifungwa kama.vile tanzania dima, mawio, jamhuri nk. Leo yanaandik chochote
Watu tunafurahia maisha biashara zimerudi kama zamani, mahoteli yaliyofungwa kibabe yamerudi kam ngurdoto nk.
Viwanda vilivyofungwa kinzazi kabisa vina operate sasa hivu kama viwanda vya chunvi kule bagamoyo.
Hakuna ubabe tena tulikuwa tumezoea na nchi imetulia sasa mjinga mmoja anayeitwa makonda anataka kuichafua tena nchi.
Hata maaskofu kanisa katoliki hawakupenda kabisa uongozi wa jiwe ndo mana nyaraka zililuwa nyingi. We mtu gani ukikosolewa unatishia kushila pasport kama laivyofanya kwa ask. Niwemugizi na kakobe.
Samia huyu hafanyi maamuzi kwa hearsays. Mahakama.ndo inapaswa imshibitishe bashe kama ni kwelinyanayosemwa au la. Mbona mpina haendi mahalamani. Umeshajiuliza? Anaogopa niniSamia huyu anayemtazama tu Bashe akiizamisha meli??
Samia huyu huyu ambaye amepiga kimya kuhusu aliyoyabaini CAG??
Huyu huyu wa Bandari na DP World!!? Huyu huyu wa Ngorongoro na KIA!? Au unamzungumzia yupi??
Kwa Hali ilipofikia hii nchi hatuhitaji viongozi wa kuchekacheka na watu!! Ikitokea Rais yupo vile na tukataka na wasaidizi wake wawe kama yeye basi tutegemee kina Bashe na Mwigulu kuongezeka nchini.
Tafadhali tuacheni Tanganyika yetu!! Viongozi wa Kitanganyika lazima Waamuke na kucharuka!!
Hapana kabisa kuruhusu huu uzenji
Hiki ndicho unachokiweza kingine ni kubanduliwa, idiot!Hii nchi Samia asingeinusuru baada ya torture tulizozipitia surely akina tundu lisu na lema au mbowe wangekuwa bado wako ughaibuni kuogopa kuuawa.
Hii nchi mama kaitoa mbali sana tulikuwa tunaishi kama vile tuko motoni. Ukiamka hijui kama leo ni zami yako kutekwa au la.
Hata information muhimu tulikuwa hatupai kabisa mana magazeti yale ya kuibua madudu yalifungwa kama.vile tanzania dima, mawio, jamhuri nk. Leo yanaandik chochote
Watu tunafurahia maisha biashara zimerudi kama zamani, mahoteli yaliyofungwa kibabe yamerudi kam ngurdoto nk.
Viwanda vilivyofungwa kinzazi kabisa vina operate sasa hivu kama viwanda vya chunvi kule bagamoyo.
Hakuna ubabe tena tulikuwa tumezoea na nchi imetulia sasa mjinga mmoja anayeitwa makonda anataka kuichafua tena nchi.
Hata maaskofu kanisa katoliki hawakupenda kabisa uongozi wa jiwe ndo mana nyaraka zililuwa nyingi. We mtu gani ukikosolewa unatishia kushila pasport kama laivyofanya kwa ask. Niwemugizi na kakobe.
Nyie Wazanzibar mmejaa huku kwetu tunawalisha. Mmejua kutuibia Sasa mnajifanya mnajua Kila kituUmeshaambiwa kosa ni kujiuza.
Nchi inateketea na ufisadi wewe unaleta taarabu hapa!!Samia huyu hafanyi maamuzi kwa hearsays. Mahakama.ndo inapaswa imshibitishe bashe kama ni kwelinyanayosemwa au la. Mbona mpina haendi mahalamani. Umeshajiuliza? Anaogopa nini
Nani kakwambia kuna ifisadi. Leta ushahidi. Au na wewe unasikia tuNchi inateketea na ufisadi wewe unaleta taarabu hapa!!
Huyu mama yenu huyu endeleeni kumdanganya!!
Deblant na Yoda uandishi wenu unafanana kama wafaransa vile!Kuna wanawake wamekamatwa na mkuu wa wilaya ya ubongo kwa staili zile zile za bashite
Hii nchi ukiwa na busara sana wanakuona mjinga, dawa kiburi ni jeuri... Makondq yuko sawa!!!Hakuna ubabe tena tulikuwa tumezoea na nchi imetulia sasa mjinga mmoja anayeitwa makonda anataka kuichafua tena nchi
Makonda hataka ujinga ujinga, hataki uonevu anapenda haki ndio maana huwa anakerwa na dhuluma na uonevu kwa wananchi.Mahakama zipo kwa ajiri hiyo vinginevyo zingefutwa. Makonda hawezi kuwa mahakama. Kesho akiamua kula mke wako utamfanyaje mana akiachwa ndo kitakachofata
Hii ncho siyo mali yake na familia yake inaomgozwa kwa utaratibu na systems. Ubabe wake akamfanyie mkewe au aka exercise kwa mwanae. Sisi tunaongozwa na mkuu wa mkoa siyo makonda. Makonda is nothing tha a big country like thisMakonda hataka ujinga ujinga, hataki uonevu anapenda haki ndio maana huwa anakerwa na dhuluma na uonevu kwa wananchi.
ni kiongozi anaye guswa na kuumizwa sana na matatizo ya wananchi.anapenda sana haki. hilo ndio tatizo lake.
Wanao mchukia ni wale wote wanao penda dhuluma na waonevu. Makonda ni kiongozi.