Makonda hafai kuwa kiongozi kabisa. Uongozi unahitaji busara na hekima kama Rais Samia alivyo

Nimemsikia anasema wafikishwe mahakamani mahakama itafsiri sheria!
Ndiyo. Wanasheria watajua vifungu ni vipi vya kuwavictimise. We na mimi hatuwezi kujua mana siyo wanasheria. Sheria ni profession siyo kila mtu anajua
 
Magufuli style ndio sahihi ina a rotten system.

Ila kwakua mafisadi na wahuni wengi wana nguvu na wanaopiganiwa bado hawajajitambua basi Acha tuandelee hivi hivi mpaka Mungu mwenyewe atakapoamua vinginevyo.
 
Ubaya wa utawala wa jpm.hakuna ambaye anaweza kujua kama kamuonea mtu au la mana kila kitu kinakuwa paralysed. Kumbuka yeye ni binadamu anaweza kuwashughulia mahasimu wake kisiasa kwa mgongo wa ufisadi ili kuwahadaa watu kama alivyofanya kuwafukuza watu makazini eti vyeti feki kumbe ni chadema wanaompinga ndo mana mama kawarudisha fasta
 
Ndiyo. Wanasheria watajua vifungu ni vipi vya kuwavictimise. We na mimi hatuwezi kujua mana siyo wanasheria. Sheria ni profession siyo kila mtu anajua
Ondoa ujinga wako hapa, polisi anapomkata mtu lazima amwambie anamkamata kwa kosa gani, sio ukamate watu halafu ndio uanze kuwatafutia makosa ya kuwashitaki.
 
Umeshaambiwa kosa ni kujiuza.
 
Hivi aliwarudisha?
Au aliambiwa awarudishe?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ondoa ujinga wako hapa, polisi anapomkata mtu lazima amwambie anamkamata kwa kosa gani, sio ukamate watu halafu ndio uanze kuwatafutia makosa ya kuwashitaki.
Kumbuka mwili wako ni mali ya serikali siyo mali yako binafsi
 
Unadhani kuongoza ni kama ulivyompumbavu wewe...chuki yako kwa makonda haitamzuia kamwe kufikia hitaji la Watanzania. Endelea kusifu matapeli na majinga kama wewe achana na makonda. Makonda ndiye ajaye zombie wewe
 
We huoni hata ukatibu mwenezi ulimshinda? Uongozi unahitaji hekima kubwa sana vinginevyo utakufa fasta kwa visilani kama jpm
 
Nchi hii Rais hana mamlaka ya kuzuia mikutano ya siasa bila decree rasmi iliyokidhi matakwa ya katiba.
Hana mamlaka ya kutumia pesa nje ya bajeti ya bunge.
 
Hilo takataka unalisifu bure halina hekima. Hebu ona migogoro anayotatua Jerry Silaa, imejaa hekima siyo hii takataka linafikri ubabe ndio unasaidia. Kwani kutatua migogoro lazima udhalilishe watu? Pumbavu kabisaaa!
 
Wewe ni mvivu, mzembe, MLA rushwa na Hauna Maarifa yoyote ya ulichokisomea.

Hivo unahitaji muda wote mambo yaendelee kama ulivyo ww .
 
Makonda ni kiongozi ambaye anapaswa kuigwa kwa Yale mazuri yake...RC's wote wanapaswa kuishi maisha ya Makonda ya kutong'ang'ania vitu maofisini na badala yake wakasikimize kero za wananchi huko waliko....
 
Kero za wananchi hazitatuliwi vile.
 
Basi wewe itakua vyeti feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…