Jamii inahitaji sana watu kama aina ya Makonda.
Ubabe wake unasaidia sana wanao onewa.
Kuna mijitu ina fedha na wanatumia uwezo wao wa kifedha kuonea na kuwadhulumu wanyong'e wasio na uwezo.
Kuna mijitu inatumia madaraka yao kuwadhulumu wasio julikana.
Kama tutakuwa na viongozi wa aina ya Makonda basi uonevu na dhuluma zitakwisha kabisa.
Kama ningekuwa na uwezo wa kuteua basi Makonda anafaa kuwa Waziri kamili.