Makonda: Hakuna nilichojifunza, nitawanyoosha. Wasiopaka rangi nyumba zao katikati ya Mji TUTABOMOA

CCM ya sasa ina wajinga wengi kupita kiasi
 
Ni kweli anachosema Makonda, hajajifunza chochote hata hajui amepewa Demotion
 

Nchi imebaki kuwa na kiki na uchawa. Hakuna cha kuonyesha. Kuna kitu gani cha kimaendeleo tunaweza kusema Mkonda kafanya au kaleta sehemu yeyote. Je wazo gani mpya zaidi ya kelele na uchawa. Kama ipo tuonyesheni badala ya kushinda kila siku hata kutokujitambua tunasifia nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…