LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
kitaalamu hizo si rangi za kupaka kuta za nyumba na zikatazamika itakuwa ni kituko. Rangi za kupaka nyumba zinajulikana ni zipi. Hizo kijani na njano ni brand colour ya ccm inayopakwa kwenye ofisi zao na ni nje tu, ukipaka ndani ni kero kisaikolojia hazifai. Kila mji unapaswa kupangiliwa rangi za kupakwa kwa mpangilio kama mombasaIwe kijani au njano