Mfalme_wa_Nyika
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 683
- 1,581
Chizi maarifa.Wajinga ukiwauliza watakuambia eti makonda anapendwa sana, wanasahau huyu zero brain ni moja ya watu wana propaganda nyingi kutengeneza picha ili kuhalalisha mipango yao, makonda ni mmoja wapo.
Arusha yote, Kilimanjaro Yote, Manyara Yote, ni ukweli ambao haupingiki si kwa CCM tu bali Tanzania nzima kuwa ni NGOME YA UPINZANI NCHI HII.
Swali je unadhani upinzani umekufa!? Ukijibu hili swali la pili JE MAISHA YA WATZ YAMEBORESHWA AU LA NA CCM!?
Kama jibu ni LA MAISHA YA WATZ NI YA HERI JANA KULIKO LEO BASI UJUE UPINZANI HAUJAFA TZ NA WALA HAUTAKAA UFE....
NI nini sasa huyu zero brain form four failure Makonda anafanya!? Jibu ni propaganda...
Ukituuliza sisi wakaazi na wazawa wa Arusha, hakuna kitu kama Takataka Makonda au Daudi Bashite atatuambia tumuelewe, na hakuna mtu anachukiwa Arusha nzima mtaani kama Makonda...
Nyie danganyweni na video za Millard Ayo waandishi uchwara unaoweza wanunua hata kwa hela ya pedi kuona scenery anayotengeneza makonda Arusha udhani ni mtu wa watu...
Makonda pona yake ni moja tu ila tena kwa muda kuwa CHADEMA isiposhiriki uchaguzi mwaka huu kwamba CCM hata wakiwa kumi Arusha watajipigia kura ma huyu Zero Brain atakuwa Mbunge...
Otherwise CHADEMA WANGEKUWA HAPA ARUSHA WANASHIRIKI UCHAGUZI, HATA WANGEMSIMAMISHA MUUZA CHIPSI FULANI TU SEMBUSE LEMA, HUYU MAKONDA ANGESHINDWA UCHAGUZI MAPEMA SANA ASUBUHI.
Ndugu zangu nawaambia hizi tambo za ccm na wadhalimu kama Makonda ipp siku hawa watu hawatakuwapo madarakani na watavuna wanachopanda.
Mtu anachinja ngombe 200 ni zaidi ya milioni 200 eti kuchukua form!?
Halafu takukuru makukuru hawaoni hii rushwa ya waziwazi nje nje....
Mnadhani hizo pesa hana kazi nayo kuzifanya!? Au anajua anachotafuta kwenye ubunge!?
KWA HIYO MKIONA MAKONDA AKASHINDA ubunge mjue SIO KIHALALI MAANA CCM WATAKUWA WAMEJICHAGUA WAO...
ILA NASEMA ATAYECHAGULIWA HATATAWALA.
Wajinga ukiwauliza watakuambia eti makonda anapendwa sana, wanasahau huyu zero brain ni moja ya watu wana propaganda nyingi kutengeneza picha ili kuhalalisha mipango yao, makonda ni mmoja wapo.
Arusha yote, Kilimanjaro Yote, Manyara Yote, ni ukweli ambao haupingiki si kwa CCM tu bali Tanzania nzima kuwa ni NGOME YA UPINZANI NCHI HII.
Swali je unadhani upinzani umekufa!? Ukijibu hili swali la pili JE MAISHA YA WATZ YAMEBORESHWA AU LA NA CCM!?
Kama jibu ni LA MAISHA YA WATZ NI YA HERI JANA KULIKO LEO BASI UJUE UPINZANI HAUJAFA TZ NA WALA HAUTAKAA UFE....
NI nini sasa huyu zero brain form four failure Makonda anafanya!? Jibu ni propaganda...
Ukituuliza sisi wakaazi na wazawa wa Arusha, hakuna kitu kama Takataka Makonda au Daudi Bashite atatuambia tumuelewe, na hakuna mtu anachukiwa Arusha nzima mtaani kama Makonda...
Nyie danganyweni na video za Millard Ayo waandishi uchwara unaoweza wanunua hata kwa hela ya pedi kuona scenery anayotengeneza makonda Arusha udhani ni mtu wa watu...
Makonda pona yake ni moja tu ila tena kwa muda kuwa CHADEMA isiposhiriki uchaguzi mwaka huu kwamba CCM hata wakiwa kumi Arusha watajipigia kura ma huyu Zero Brain atakuwa Mbunge...
Otherwise CHADEMA WANGEKUWA HAPA ARUSHA WANASHIRIKI UCHAGUZI, HATA WANGEMSIMAMISHA MUUZA CHIPSI FULANI TU SEMBUSE LEMA, HUYU MAKONDA ANGESHINDWA UCHAGUZI MAPEMA SANA ASUBUHI.
Ndugu zangu nawaambia hizi tambo za ccm na wadhalimu kama Makonda ipp siku hawa watu hawatakuwapo madarakani na watavuna wanachopanda.
Mtu anachinja ngombe 200 ni zaidi ya milioni 200 eti kuchukua form!?
Halafu takukuru makukuru hawaoni hii rushwa ya waziwazi nje nje....
Mnadhani hizo pesa hana kazi nayo kuzifanya!? Au anajua anachotafuta kwenye ubunge!?
KWA HIYO MKIONA MAKONDA AKASHINDA ubunge mjue SIO KIHALALI MAANA CCM WATAKUWA WAMEJICHAGUA WAO...
ILA NASEMA ATAYECHAGULIWA HATATAWALA.
Jibu hoja wewe acha siasa za ccm, leta reforms kwenye uchaguzi uwe huru na haki mimi nisimame na makonda Arusha namtoa knock out asubuhi nila nyama wala pombez,Hakyanani! Makonda kaongoza jiji la wajanja wote, Dsm kaongoza Arusha kawa Mwenezi. Kote huko alifanya vema.
Wewe mwenzetu una ujanja gani ?
Umeongoza nini hadi umponde Makonda?
Je unaweza kufaa kuongoza ile wadi nyeti pale Milembe? Tukuombee kazi?
Watz wa hovyo kama ninyi huwa siwajibu, jMngekuwa wajanja wala asingeupata ubunge 😄
Na snawawezea nyama choma ns pombe+mziki
Ova
Bora mimi ni keyboard warrior kuliko wewe marioo unayedanganywa na nyama chomaWewe mleta mada una ujanja gani unaozidi wa Makonda? Wewe ndo unataka kujipa umaarufu kupitia Makonda kisa tu unajua kubonyeza buttons za keyboard
Takataka za bashiteWewe mleta mada una ujanja gani unaozidi wa Makonda? Wewe ndo unataka kujipa umaarufu kupitia Makonda kisa tu unajua kubonyeza buttons za keyboard
Kwa hiyo watu wameumia sana Makonda kuwa mbunge wao sivyo?Jibu hoja wewe acha siasa za ccm, leta reforms kwenye uchaguzi uwe huru na haki mimi nisimame na makonda Arusha namtoa knock out asubuhi nila nyama wala pombez,
Mwanaume kama wewe unanunuliwa nyama unakuja kumshadadia mwanaume mwezako!? Huo ni uchokolo
Nishakuambia makonda hatakuwa mbunge wanguKwa hiyo watu wameumia sana Makonda kuwa mbunge wao sivyo?
Hii ndiyo imetoka hiyo.
Ndo ishakuwa hivyo mkuu Na sio kuwa Mbunge Anaenda kuwa waziriNishakuambia makonda hatakuwa mbunge wangu
Kwamba wewe mjanja kuliko makonda...!?😆Wajinga ukiwauliza watakuambia eti Makonda anapendwa sana, wanasahau huyu zero brain ni moja ya watu wana propaganda nyingi kutengeneza picha ili kuhalalisha mipango yao, makonda ni mmoja wapo.
Arusha yote, Kilimanjaro Yote, Manyara Yote, ni ukweli ambao haupingiki si kwa CCM tu bali Tanzania nzima kuwa ni NGOME YA UPINZANI NCHI HII.
Swali je unadhani upinzani umekufa!? Ukijibu hili swali la pili JE MAISHA YA Watanzania YAMEBORESHWA AU LA NA CCM!?
Kama jibu ni LA MAISHA YA Watanzania NI YA HERI JANA KULIKO LEO BASI UJUE UPINZANI HAUJAFA TZ NA WALA HAUTAKAA UFE....
NI nini sasa huyu zero brain form four failure Makonda anafanya!? Jibu ni propaganda...
Ukituuliza sisi wakaazi na wazawa wa Arusha, hakuna kitu kama Takataka Makonda au Daudi Bashite atatuambia tumuelewe, na hakuna mtu anachukiwa Arusha nzima mtaani kama Makonda...
Nyie danganyweni na video za Millard Ayo waandishi uchwara unaoweza wanunua hata kwa hela kuona scenery anayotengeneza Makonda Arusha udhani ni mtu wa watu...
Makonda pona yake ni moja tu ila tena kwa muda kuwa CHADEMA isiposhiriki uchaguzi mwaka huu kwamba CCM hata wakiwa kumi Arusha watajipigia kura ma huyu Zero Brain atakuwa Mbunge...
Otherwise CHADEMA WANGEKUWA HAPA ARUSHA WANASHIRIKI UCHAGUZI, HATA WANGEMSIMAMISHA MUUZA CHIPSI FULANI TU SEMBUSE LEMA, HUYU MAKONDA ANGESHINDWA UCHAGUZI MAPEMA SANA ASUBUHI.
Ndugu zangu nawaambia hizi tambo za ccm na wadhalimu kama Makonda ipp siku hawa watu hawatakuwapo madarakani na watavuna wanachopanda.
Mtu anachinja ngombe 200 ni zaidi ya milioni 200 eti kuchukua form!?
Halafu takukuru makukuru hawaoni hii rushwa ya waziwazi nje nje....
Mnadhani hizo pesa hana kazi nayo kuzifanya!? Au anajua anachotafuta kwenye ubunge!?
Kwa hiyo mkiona makonda akashinda ubunge mjue sio kihalali maana ccm watakuwa wamejichagua wao... Ila nasema atayechaguliwa hatatawala.
Kwa nini kule Kigamboni ulipofanyika uchaguzi wa wazi ndani ya CCM tu alipigwa chini na Ndungulile ambaye wala hakuwa na mbwembwe za kifala kama za huyu bongolala mshamba?Hakyanani! Makonda kaongoza jiji la wajanja wote, Dsm kaongoza Arusha kawa Mwenezi. Kote huko alifanya vema.
Wewe mwenzetu una ujanja gani ?
Umeongoza nini hadi umponde Makonda?
Je unaweza kufaa kuongoza ile wadi nyeti pale Milembe? Tukuombee kazi?
Huwezi nilinganisha na bwabwa kama makondaKwamba wewe mjanja kuliko makonda...!?😆