Makonda hapa Arusha anajipa umuhimu usio wake, wajanja walio wengi tunamuona zero brain

Makonda hapa Arusha anajipa umuhimu usio wake, wajanja walio wengi tunamuona zero brain

Chadema wangeingia ulingoni kwa reforms huyo konda hapenyi kokote..!!
 
Wale wa juu wakiamua kukubeba hata ugombee na shetani utapita Tu, hii hatari Yake ni kwamba watu wanakukinai na hata wale wachache wanaanza kukukataa, salama ya jamaa kwa maslahi mapana ya future yake lazima ahakikishe au ahakikishiwe nafasi ya juu zaidi ya uwaziri na magodfathers wake.
 
Kwa nini kule Kigamboni ulipofanyika uchaguzi wa wazi ndani ya CCM tu alipigwa chini na Ndungulile ambaye wala hakuwa na mbwembwe za kifala kama za huyu bongolala mshamba?
Hamjiulizi mbona nguvu kubwa sana inatumika kumnadi? Na mbona hata mavitendo ya rushwa za ajabu yanafanyika hayakemewi? Au ni kwa vile kama isemavywo kuwa alibahatika kumfyatua amri ya sita mtu maarufu?
Ni minister ajaye huyo. Full stop.
Wakati ukuta.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Huyo soon wataanza kugombania mademu na Makala hapo arusha.
 
Back
Top Bottom