Chakaza
Platinum Member
- Mar 10, 2007
- 41,034
- 74,732
Huyu muda wake wa kunyea debe bado mchache sana!Huyu mkifanya mchezo anakuja kuwa rais

Ndo nashangaa hayo maswali hawajiulizi, makonda ni empty zero kabisa tabia za madikteta anazo zoteKwa nini kule Kigamboni ulipofanyika uchaguzi wa wazi ndani ya CCM tu alipigwa chini na Ndungulile ambaye wala hakuwa na mbwembwe za kifala kama za huyu bongolala mshamba?
Hamjiulizi mbona nguvu kubwa sana inatumika kumnadi? Na mbona hata mavitendo ya rushwa za ajabu yanafanyika hayakemewi? Au ni kwa vile kama isemavywo kuwa alibahatika kumfyatua amri ya sita mtu maarufu?
Hakika mkuu yaani makonda nchi ikibadilika tu atafute pakukimbiliaHuyu muda wake wa kunyea debe bado mchache sana!
Hapa Kipanya sijui anamaanisha nini? 😁😁😁
Mlishindwaje mdhibiti hukoWatz wa hovyo kama ninyi huwa siwajibu, j
Uchaguzi batili UTAYEYUKAWajinga ukiwauliza watakuambia eti Makonda anapendwa sana, wanasahau huyu zero brain ni moja ya watu wana propaganda nyingi kutengeneza picha ili kuhalalisha mipango yao, makonda ni mmoja wapo.
Arusha yote, Kilimanjaro Yote, Manyara Yote, ni ukweli ambao haupingiki si kwa CCM tu bali Tanzania nzima kuwa ni NGOME YA UPINZANI NCHI HII.
Swali je unadhani upinzani umekufa!? Ukijibu hili swali la pili JE MAISHA YA Watanzania YAMEBORESHWA AU LA NA CCM!?
Kama jibu ni LA MAISHA YA Watanzania NI YA HERI JANA KULIKO LEO BASI UJUE UPINZANI HAUJAFA TZ NA WALA HAUTAKAA UFE....
NI nini sasa huyu zero brain form four failure Makonda anafanya!? Jibu ni propaganda...
Ukituuliza sisi wakaazi na wazawa wa Arusha, hakuna kitu kama Takataka Makonda au Daudi Bashite atatuambia tumuelewe, na hakuna mtu anachukiwa Arusha nzima mtaani kama Makonda...
Nyie danganyweni na video za Millard Ayo waandishi uchwara unaoweza wanunua hata kwa hela kuona scenery anayotengeneza Makonda Arusha udhani ni mtu wa watu...
Makonda pona yake ni moja tu ila tena kwa muda kuwa CHADEMA isiposhiriki uchaguzi mwaka huu kwamba CCM hata wakiwa kumi Arusha watajipigia kura ma huyu Zero Brain atakuwa Mbunge...
Otherwise CHADEMA WANGEKUWA HAPA ARUSHA WANASHIRIKI UCHAGUZI, HATA WANGEMSIMAMISHA MUUZA CHIPSI FULANI TU SEMBUSE LEMA, HUYU MAKONDA ANGESHINDWA UCHAGUZI MAPEMA SANA ASUBUHI.
Ndugu zangu nawaambia hizi tambo za ccm na wadhalimu kama Makonda ipp siku hawa watu hawatakuwapo madarakani na watavuna wanachopanda.
Mtu anachinja ngombe 200 ni zaidi ya milioni 200 eti kuchukua form!?
Halafu takukuru makukuru hawaoni hii rushwa ya waziwazi nje nje....
Mnadhani hizo pesa hana kazi nayo kuzifanya!? Au anajua anachotafuta kwenye ubunge!?
Kwa hiyo mkiona makonda akashinda ubunge mjue sio kihalali maana ccm watakuwa wamejichagua wao... Ila nasema atayechaguliwa hatatawala.
Anamaanisha ccm inaongozwa na jibwa zee ligonjwa, ambalo muda wowote litakata kamba na kuiacha ccm ikipapasa pa kuelekea maana haina hata kichwa(akili) hivyo tu yani.Hapa Kipanya sijui anamaanisha nini? 😁😁😁
mrangi wewe ni mjanja kabisa,nashangaa unauliza swali kama mtu wa kijijini kabisa, ungejiuliza kwanza aliyemweka hapo ni nani, kumbuka wale madiwani waliokuwa wakimlilia makonda achukue fomu ya ubunge, hao wajumbe wa ccm hawawakilishi wananchi wote wa Arusha, ni kakikundi ka machawa sugu wenye njaa kali ndiyo wanaopewa hiyo nafasi, halafu huko kamati kuu nao wale ni wana arusha ndiyo waliomwidhinisha kuwa mgombea rasmi? Tafaadhali bwana.Mlishindwaje mdhibiti huko
Au wadudu wamewazidi nguvu huko
Ova
Kama clip za video za Ayo ni za uongo tuletee zako wewe za kweli mkuu. Mbona unabwabwaja tu kama nyumbu?Wajinga ukiwauliza watakuambia eti Makonda anapendwa sana, wanasahau huyu zero brain ni moja ya watu wana propaganda nyingi kutengeneza picha ili kuhalalisha mipango yao, makonda ni mmoja wapo.
Arusha yote, Kilimanjaro Yote, Manyara Yote, ni ukweli ambao haupingiki si kwa CCM tu bali Tanzania nzima kuwa ni NGOME YA UPINZANI NCHI HII.
Swali je unadhani upinzani umekufa!? Ukijibu hili swali la pili JE MAISHA YA Watanzania YAMEBORESHWA AU LA NA CCM!?
Kama jibu ni LA MAISHA YA Watanzania NI YA HERI JANA KULIKO LEO BASI UJUE UPINZANI HAUJAFA TZ NA WALA HAUTAKAA UFE....
NI nini sasa huyu zero brain form four failure Makonda anafanya!? Jibu ni propaganda...
Ukituuliza sisi wakaazi na wazawa wa Arusha, hakuna kitu kama Takataka Makonda au Daudi Bashite atatuambia tumuelewe, na hakuna mtu anachukiwa Arusha nzima mtaani kama Makonda...
Nyie danganyweni na video za Millard Ayo waandishi uchwara unaoweza wanunua hata kwa hela kuona scenery anayotengeneza Makonda Arusha udhani ni mtu wa watu...
Makonda pona yake ni moja tu ila tena kwa muda kuwa CHADEMA isiposhiriki uchaguzi mwaka huu kwamba CCM hata wakiwa kumi Arusha watajipigia kura ma huyu Zero Brain atakuwa Mbunge...
Otherwise CHADEMA WANGEKUWA HAPA ARUSHA WANASHIRIKI UCHAGUZI, HATA WANGEMSIMAMISHA MUUZA CHIPSI FULANI TU SEMBUSE LEMA, HUYU MAKONDA ANGESHINDWA UCHAGUZI MAPEMA SANA ASUBUHI.
Ndugu zangu nawaambia hizi tambo za ccm na wadhalimu kama Makonda ipp siku hawa watu hawatakuwapo madarakani na watavuna wanachopanda.
Mtu anachinja ngombe 200 ni zaidi ya milioni 200 eti kuchukua form!?
Halafu takukuru makukuru hawaoni hii rushwa ya waziwazi nje nje....
Mnadhani hizo pesa hana kazi nayo kuzifanya!? Au anajua anachotafuta kwenye ubunge!?
Kwa hiyo mkiona makonda akashinda ubunge mjue sio kihalali maana ccm watakuwa wamejichagua wao... Ila nasema atayechaguliwa hatatawala.
Nyumbu bhana!! 🤣mrangi wewe ni mjanja kabisa,nashangaa unauliza swali kama mtu wa kijijini kabisa, ungejiuliza kwanza aliyemweka hapo ni nani, kumbuka wale madiwani waliokuwa wakimlilia makonda achukue fomu ya ubunge, hao wajumbe wa ccm hawawakilishi wananchi wote wa Arusha, ni kakikundi ka machawa sugu wenye njaa kali ndiyo wanaopewa hiyo nafasi, halafu huko kamati kuu nao wale ni wana arusha ndiyo waliomwidhinisha kuwa mgombea rasmi? Tafaadhali bwana.
Mwingine zero brain yupo Kigoma mjini.Anafanana na huyo wa arusha,mpenda sifaKama clip za video za Ayo ni za uongo tuletee zako wewe za kweli mkuu. Mbona unabwabwaja tu kama nyumbu?
Wewe mbona mwandiko tu wako unaonekana ni bwabwa la nguvu.Huwezi nilinganisha na bwabwa kama makonda
Watu wa arusha wameniangusha kweli! Yaani kwa ajili ya drama ndio wanaona makonda anafaa kuwa mbunge wao! Vitu kama nyama za bure ndio limbwata alilowapa wana arusha sasaivi huwambii kitu kuhusu makonda! Inasikitisha sana!Wajinga ukiwauliza watakuambia eti Makonda anapendwa sana, wanasahau huyu zero brain ni moja ya watu wana propaganda nyingi kutengeneza picha ili kuhalalisha mipango yao, makonda ni mmoja wapo.
Arusha yote, Kilimanjaro Yote, Manyara Yote, ni ukweli ambao haupingiki si kwa CCM tu bali Tanzania nzima kuwa ni NGOME YA UPINZANI NCHI HII.
Swali je unadhani upinzani umekufa!? Ukijibu hili swali la pili JE MAISHA YA Watanzania YAMEBORESHWA AU LA NA CCM!?
Kama jibu ni LA MAISHA YA Watanzania NI YA HERI JANA KULIKO LEO BASI UJUE UPINZANI HAUJAFA TZ NA WALA HAUTAKAA UFE....
NI nini sasa huyu zero brain form four failure Makonda anafanya!? Jibu ni propaganda...
Ukituuliza sisi wakaazi na wazawa wa Arusha, hakuna kitu kama Takataka Makonda au Daudi Bashite atatuambia tumuelewe, na hakuna mtu anachukiwa Arusha nzima mtaani kama Makonda...
Nyie danganyweni na video za Millard Ayo waandishi uchwara unaoweza wanunua hata kwa hela kuona scenery anayotengeneza Makonda Arusha udhani ni mtu wa watu...
Makonda pona yake ni moja tu ila tena kwa muda kuwa CHADEMA isiposhiriki uchaguzi mwaka huu kwamba CCM hata wakiwa kumi Arusha watajipigia kura ma huyu Zero Brain atakuwa Mbunge...
Otherwise CHADEMA WANGEKUWA HAPA ARUSHA WANASHIRIKI UCHAGUZI, HATA WANGEMSIMAMISHA MUUZA CHIPSI FULANI TU SEMBUSE LEMA, HUYU MAKONDA ANGESHINDWA UCHAGUZI MAPEMA SANA ASUBUHI.
Ndugu zangu nawaambia hizi tambo za ccm na wadhalimu kama Makonda ipp siku hawa watu hawatakuwapo madarakani na watavuna wanachopanda.
Mtu anachinja ngombe 200 ni zaidi ya milioni 200 eti kuchukua form!?
Halafu takukuru makukuru hawaoni hii rushwa ya waziwazi nje nje....
Mnadhani hizo pesa hana kazi nayo kuzifanya!? Au anajua anachotafuta kwenye ubunge!?
Kwa hiyo mkiona makonda akashinda ubunge mjue sio kihalali maana ccm watakuwa wamejichagua wao... Ila nasema atayechaguliwa hatatawala.
Naelewa mfumo,ndiyo umumuweka hapomrangi wewe ni mjanja kabisa,nashangaa unauliza swali kama mtu wa kijijini kabisa, ungejiuliza kwanza aliyemweka hapo ni nani, kumbuka wale madiwani waliokuwa wakimlilia makonda achukue fomu ya ubunge, hao wajumbe wa ccm hawawakilishi wananchi wote wa Arusha, ni kakikundi ka machawa sugu wenye njaa kali ndiyo wanaopewa hiyo nafasi, halafu huko kamati kuu nao wale ni wana arusha ndiyo waliomwidhinisha kuwa mgombea rasmi? Tafaadhali bwana.
HahahaOtherwise CHADEMA WANGEKUWA HAPA ARUSHA WANASHIRIKI UCHAGUZI, HATA WANGEMSIMAMISHA MUUZA CHIPSI FULANI TU SEMBUSE LEMA, HUYU MAKONDA ANGESHINDWA UCHAGUZI MAPEMA SANA ASUBUHI.