Makonda hapa Arusha anajipa umuhimu usio wake, wajanja walio wengi tunamuona zero brain

Ndo nashangaa hayo maswali hawajiulizi, makonda ni empty zero kabisa tabia za madikteta anazo zote
Mbele ya uchaguzi wa huru wazi na haki haendi popote
 
Uchaguzi batili UTAYEYUKA

NRNE 💪 🔥
 
Mlishindwaje mdhibiti huko
Au wadudu wamewazidi nguvu huko

Ova
mrangi wewe ni mjanja kabisa,nashangaa unauliza swali kama mtu wa kijijini kabisa, ungejiuliza kwanza aliyemweka hapo ni nani, kumbuka wale madiwani waliokuwa wakimlilia makonda achukue fomu ya ubunge, hao wajumbe wa ccm hawawakilishi wananchi wote wa Arusha, ni kakikundi ka machawa sugu wenye njaa kali ndiyo wanaopewa hiyo nafasi, halafu huko kamati kuu nao wale ni wana arusha ndiyo waliomwidhinisha kuwa mgombea rasmi? Tafaadhali bwana.
 
Pigia mstari chalii yangu.
Umeandika ukweli mtupu,bashite kajaza mabango clock tower kabla ya muda wa kampeni kuanza.,angekuwa kafanya mpinzani povu na kufutiwa kugombea ingetokea ila kama bashite yupo juu ya yote.
 
Kama clip za video za Ayo ni za uongo tuletee zako wewe za kweli mkuu. Mbona unabwabwaja tu kama nyumbu?
 
Reactions: Tui
Nyumbu bhana!! 🤣
 
Reactions: Tui
Mwi
Kama clip za video za Ayo ni za uongo tuletee zako wewe za kweli mkuu. Mbona unabwabwaja tu kama nyumbu?
Mwingine zero brain yupo Kigoma mjini.Anafanana na huyo wa arusha,mpenda sifa
 
Watu wa arusha wameniangusha kweli! Yaani kwa ajili ya drama ndio wanaona makonda anafaa kuwa mbunge wao! Vitu kama nyama za bure ndio limbwata alilowapa wana arusha sasaivi huwambii kitu kuhusu makonda! Inasikitisha sana!
 
Naelewa mfumo,ndiyo umumuweka hapo
Maagizo kutoka juu
Point yangu,maagizo ya juu yamewazidi mpaka wajanja madon wa chuga mpaka nao wameufyata,wako kimya

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…