Kula nyama ndio ubunifu?Wewe ni zwazwa kabisa.Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Bwana makonda kuna kitu unazingua
😂Ameona watu hawana habari nae kaja kujisifu JF
Huwezi kuona ubunifu hapo hadi uwe na D2Kula nyama ndio ubunifu?Wewe ni zwazwa kabisa.
Watu tuna A ninyi mnatafuta D mbiliHuwezi kuona ubunifu hapo hadi uwe na D2
Micna wewe hata tukikutana live nakuzidi akiliKwa akili hizi, Ndio maana tunapata viongozi wasio na vision, viongozi wapenda kiki, wasio na busara wala hekima.
DAB ni tapeli, apuuzwe!!!!!Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Hujui maana ya D2Watu tuna A ninyi mnatafuta D mbili
Micna ndiyo nini?? 🤣, sasa akili ni mpaka tukutane? 🤣Micna wewe hata tukikutana live nakuzidi akili
Typo errarum,Micna ndio nini?? 🤣, sasa akili ni mpaka tukutane? 🤣
"errarum"Typo errarum,
Tukikutana ndiyo tutafahamiana then ukunje mkia
Mbona mkoani kwenu hamli nyama?Kula nyama ndio ubunifu?Wewe ni zwazwa kabisa.
Ukimpuuza wewe yatoshaDAB ni tapeli, apuuzwe!!!!!
a leader of hooligans