- Thread starter
- #61
Wewe mwenye shule uko wapi? Maprofesa wanadai wameokotwa jalalani?? Kwa hiyo na wewe ulikuwa hasimu wa JPM? We funza tuMakonda is an active comedian. He doesn't poses leadership skills. Kwanza hana shule yoyote. Alifoji vyeti and surprisingly jpm akaonea webgine yeye akamuacha. Ndo mana tunasema tunasema jpm hakuwa na nia ya vyeti feki bali kuwakomoa mahasimu wake na kutafuta cheap popularity qs how most dictators do