Makonda is a charismatic leader. He will forever be unstoppable and beyond compare

Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.

Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.

Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?

Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.

Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Kwa hiyo charisma inatafutwa kwa kuchinja ngombe 400?
 
Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.

Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.

Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?

Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.

Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
ubunifu
 
Kwa huu ujinga wa kufanya tushindwe kufanya kazi siku 3? Kweli hamjui priority za utafutaji nyinyi!
 
Jamaa kasema bashite ni charismatic. Kwani Charismatic RC anaweza kufanya ujinga?
Nikiri tu kuwa wajinga pia ni wengi hapa JF. Hivi mnashindwaje kujua maana ya charismatic leader au person? Kuwa charismatic in a very simple language ni kuwa na mvuto.
Mvuto haujalishi mtu anafanya vizuri au vibaya ila anamvutoooo.

Mtu mwerevu anafanya hivi: Kama kuna kitu huelewi, basi uliza au tafuta kwenye vitabu, google, tumia AI

Yaani neno charismatic linawachanganya kiasi hiko? Duuh?
 
Mungu amlinde na Kumbariki Makonda.

Namuombea nafasi kubwa katika Taifa letu.
 
Nikiri tu kuwa wajinga pia ni wengi hapa JF. Hivi mnashindwaje kujua maana ya charismatic leader au person? Kuwa charismatic in a very simple language ni kuwa na mvuto.
Mvuto haujalishi mtu anafanya vizuri au vibaya ila anamvutoooo.

Mtu mwerevu anafanya hivi: Kama kuna kitu huelewi, basi uliza au tafuta kwenye vitabu, google, tumia AI

Yaani neno charismatic linawachanganya kiasi hiko? Duuh?
Kwa hiyo kumbe charismatic maana yake ni kuwa na mvuto? Kwa hiyo Nimekosa mimi, nimekosa sana, naomba unisamehe
 
Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.

Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.

Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?

Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.

Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Bashite(mtumia vyeti vya Makonda) alikuwa na ubunifu kwenye kuongoza kundi la wasiojulikana pamoja na ile coalition yake na Dudu Baya ya kutangaza machoko.
 
Hii nchi tujishukuru tu tutaendelea kubakia mazwazwa mpaka yesu ashuke kuchoma nyama ndiyo ubunifu?
 
Kuchoma nyama ni siku ya kilele tu kuadhimisha siku ya wanawake ila wiki imekuwa na mambo kedekede. Hujui kuwa Mwakubusi na team yake wapo Arusha?
 
Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.

Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.

Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?

Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.

Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Makonda is an active comedian. He doesn't poses leadership skills. Kwanza hana shule yoyote. Alifoji vyeti and surprisingly jpm akaonea webgine yeye akamuacha. Ndo mana tunasema tunasema jpm hakuwa na nia ya vyeti feki bali kuwakomoa mahasimu wake na kutafuta cheap popularity qs how most dictators do
 
Back
Top Bottom