Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kwamba alikuwa kwenye kikosi kazi cha Jiwe cha kuteka na kuuwa watu hilo nalo lilikuwa kipawa?Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Kuna ushahidi humu jf kuhusu jambo hilo, je huoni aibu kumfagilia wakala wa mauaji aliyepigwa marufuku kugusa Marekani kwa kukatisha uhai wa binadamu? Au umesukumwa na njaa?