Africans are working hard in their own way. Definition ya kiongozi mchapakazi na mbunifu kwa Watanzania ni ya kipekee dunia nzima. Ukisikia mtz anamsifia kiongozi unaweza kudhani kabadilisha tz kuwa kama singaporeKula nyama ndio ubunifu?Wewe ni zwazwa kabisa.
Bila mjinga, dhana ya nani msomi hakuna ujuwe, na bila msomi hakuna mjingaWatu tuna A ninyi mnatafuta D mbili
Acha post za kitoto, makondwa anabebebwa tu hana loloteMakonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Mmelishwa nyama mmeshiba mnakuja kubehua huku jfMakonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Hivi unajua maana ya charismatic leader? Hata wewe unaweza kumbeba tu. Hiyo ndiyo tunaita charismaAcha post za kitoto, makondwa anabebebwa tu hana lolote
Watu hawajui hata maana ya ubunifuMbona mkoani kwenu hamli nyama?
Je, na wewe ni mnufaika wa nyama za ng'ombe huko Arusha?Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Msongola hospitali mpyaBila mjinga, dhana ya nani msomi hakuna ujuwe, na bila msomi hakuna mjinga
Wewe unaishi wapi mkuu
Katika watu milioni 60+, unamuona makonda, charismatic!? Makonda ni sycophants, chawa tu, ana weak academic qualifications, Hana, tofauti ni kibaka tu, bila nguvu ya dola nyuma yake, ni makapi tu,Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Sasa bwana Makonda,mbona vitu unavyofanya ni vya kawaida mno!!!Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Hujui kuwa clinic ya Wanasheria wa mama inaendelea?Arusha wana matatizo mengi zaidi ya hizo nyama
Hujiulizi kwa nini apate nguvu ya dola na asiwe wewe?Katika watu milioni 60+, unamuona makonda, charismatic!? Makonda ni sycophants, chawa tu, ana weak academic qualifications, Hana, tofauti ni kibaka tu, bila nguvu ya dola nyuma yake, ni makapi tu,
Hujui kilichoambatana na hizo nyama?Sasa bwana Makonda,mbona vitu unavyofanya ni vya kawaida mno!!!
Kifikra tunasafari ndefu sana kama jamii kuna siku nilisema tanzania ukisikia mtu anaitwa genius au anaakili kaangalie metric iliyotumika kumuita hivyo utabaki mdomo waziAfricans are working hard in their own way. Definition ya kiongozi mchapakazi na mbunifu kwa Watanzania ni ya kipekee dunia nzima. Ukisikia mtz anamsifia kiongozi unaweza kudhani kabadilisha tz kuwa kama singapore
Kwa sababu ya nyama!Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Na wakiacha kutumia bangi watagundua ni upuuzi mtupu!Arusha wana matatizo mengi zaidi ya hizo nyama
Hapo kwenye mpepe umezingua 🫣, ganja inaongeza uwezo wa kufikiri na kufanya maamuziNa wakiacha kutumia bangi watagundua ni upuuzi mtupu!