NoreformNoelection
JF-Expert Member
- Jan 29, 2025
- 302
- 333
Kwa hiyo charisma inatafutwa kwa kuchinja ngombe 400?Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Hivi unajua maana ya charismatic leader?Kwa hiyo charisma inatafutwa kwa kuchinja ngombe 400?
Nitaijulia wapi msukuma mimi? F4 yenyewe nilizungushaHivi unajua maana ya charismatic leader?
Kitu gani mheshimiwaHujui kilichoambatana na hizo nyama?
ubunifuMakonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
True! Unaanza kufikiri nyama ya bure ya siku moja ni bora kuliko miaka 50!Hapo kwenye mpepe umezingua 🫣, ganja inaongeza uwezo wa kufikiri na kufanya maamuzi
Jamaa kasema bashite ni charismatic. Kwani Charismatic RC anaweza kufanya ujinga?Kwa huu ujinga wa kufanya tushindwe kufanya kazi siku 3? Kweli hamjui priority za utafutaji nyinyi!
Nikiri tu kuwa wajinga pia ni wengi hapa JF. Hivi mnashindwaje kujua maana ya charismatic leader au person? Kuwa charismatic in a very simple language ni kuwa na mvuto.Jamaa kasema bashite ni charismatic. Kwani Charismatic RC anaweza kufanya ujinga?
Kwa hiyo kumbe charismatic maana yake ni kuwa na mvuto? Kwa hiyo Nimekosa mimi, nimekosa sana, naomba unisameheNikiri tu kuwa wajinga pia ni wengi hapa JF. Hivi mnashindwaje kujua maana ya charismatic leader au person? Kuwa charismatic in a very simple language ni kuwa na mvuto.
Mvuto haujalishi mtu anafanya vizuri au vibaya ila anamvutoooo.
Mtu mwerevu anafanya hivi: Kama kuna kitu huelewi, basi uliza au tafuta kwenye vitabu, google, tumia AI
Yaani neno charismatic linawachanganya kiasi hiko? Duuh?
Bashite(mtumia vyeti vya Makonda) alikuwa na ubunifu kwenye kuongoza kundi la wasiojulikana pamoja na ile coalition yake na Dudu Baya ya kutangaza machoko.Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Bado ni ubunifu tuBashite alikuwa na ubunifu kwenye kuongoza kundi la wasiojulikana pamoja na ile coalition yake na Dudu Baya ya kutangaza machoko.
Wizi na uharamia sio ubunifu.Bado ni ubunifu tu
We si ni Samiaagain2025, kamtumbueAmekutuma wewe kama nani yake?.
Kuchoma nyama ni siku ya kilele tu kuadhimisha siku ya wanawake ila wiki imekuwa na mambo kedekede. Hujui kuwa Mwakubusi na team yake wapo Arusha?Hii nchi tujishukuru tu tutaendelea kubakia mazwazwa mpaka yesu ashuke kuchoma nyama ndiyo ubunifu?
Makonda is an active comedian. He doesn't poses leadership skills. Kwanza hana shule yoyote. Alifoji vyeti and surprisingly jpm akaonea webgine yeye akamuacha. Ndo mana tunasema tunasema jpm hakuwa na nia ya vyeti feki bali kuwakomoa mahasimu wake na kutafuta cheap popularity qs how most dictators doMakonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.