Wewe mwenye shule uko wapi? Maprofesa wanadai wameokotwa jalalani?? Kwa hiyo na wewe ulikuwa hasimu wa JPM? We funza tuMakonda is an active comedian. He doesn't poses leadership skills. Kwanza hana shule yoyote. Alifoji vyeti and surprisingly jpm akaonea webgine yeye akamuacha. Ndo mana tunasema tunasema jpm hakuwa na nia ya vyeti feki bali kuwakomoa mahasimu wake na kutafuta cheap popularity qs how most dictators do
Jpm hakustahili kuwa rais basi tu nchi iliparaganyika kwa ugomvi wa lowasa na membe. Ndo mana kafa fasta mana uweso wake ulikuwa mdogo. Survival of the fittest. He was not fit to surviveWewe mwenye shule uko wapi? Maprofesa wanadai wameokotwa jalalani?? Kwa hiyo na wewe ulikuwa hasimu wa JPM? We funza tu
Na ulazima kuchoma nyama? Hiyo pesa si wangeenda kujenga vyoo shule ya msingi sombetini?Kuchoma nyama ni siku ya kilele tu kuadhimisha siku ya wanawake ila wiki imekuwa na mambo kedekede. Hujui kuwa Mwakubusi na team yake wapo Arusha?
Sawa, wewe MunguJpm hakustahili kuwa rais basi tu nchi iliparaganyika kwa ugomvi wa lowasa na membe. Ndo mana kafa fasta mana uweso wake ulikuwa mdogo. Survival of the fittest. He was not fit to survive
So wewe mkulima kajitolea ng’ombe ili tusherehekee wewe unataka tukajenge choo?Ilikuwa
Na ulazima kuchoma nyama? Hiyo pesa si wangeenda kujenga vyoo shule ya msingi sombetini?
Pole sana kwa kudanganyika kwa "chips yai" kiasi cha kutoa mzigo.Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Mkulima gani amejitolea ng'ombe wewe!!?So wewe mkulima kajitolea ng’ombe ili tusherehekee wewe unataka tukajenge choo?
Ok, hebu tutajie hao viongozi wasomi wenye leadership skill hapa tanzaniaMakonda is an active comedian. He doesn't poses leadership skills. Kwanza hana shule yoyote. Alifoji vyeti and surprisingly jpm akaonea webgine yeye akamuacha. Ndo mana tunasema tunasema jpm hakuwa na nia ya vyeti feki bali kuwakomoa mahasimu wake na kutafuta cheap popularity qs how most dictators do
Ok, hebu tutajie hao viongozi wasomi wenye leadership skill hapa tanzania
Samia being nimber one. Surely Samia is a good leader. Hakuna kupita bila kupingwa tena. Democracy ipo. Kwa jom democracy ilikuwa ni uhaini. Aliogopa wapinzani kama ukomaOk, hebu tutajie hao viongozi wasomi wenye leadership skill hapa tanzania
Mlaaniwe ccmSo wewe mkulima kajitolea ng’ombe ili tusherehekee wewe unataka tukajenge choo?
Wivu wa kishogaKula nyama ndio ubunifu?Wewe ni zwazwa kabisa.
Makonda is useless as long as he is chawa like Kafulia and others. He won't go anywhere. Greed is his tool and ignorance and arrogance are his weapons. Lies as well are his lifeline.Makonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Ndio maana wazungu wanatudharauMakonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.
Watu wanabaki wanajiuliza, anawezaje Huyu Bwana? Ukweli ni kwamba, Makonda anajielewa sana + na watu wanamkubali sana.
Ni vitu vingi kafanya Arusha afu watu wanabaki wanajiuliza kaweza je huyu bwana?
Siyo pesa yake
Siyo serikali
Ni pesa ya wananchi wanaohitolea kukiwasha mkoani kwao.
Mkoani kwangu sijui hata yupo nani, can you imagine?
Sawa Gambo, lakini Makonda ndio mbunge wetu ajae wa Arusha, hakuna wa kushindana naeMakonda is useless as long as he is chawa like Kafulia and others. He won't go anywhere. Greed is his tool and ignorance and arrogance are his weapons. Lies as well are his lifeline.
Naunga mkono hoja.DAB ni tapeli, apuuzwe!!!!!
a leader of hooligans
Wazungu wenyewe wehu tu, tuko nao hapa arusha wanavuta bangi hatariNdio maana wazungu wanatudharau
Mnamdanganya kumlia vhyake. Kigamboni ilikuwa hivyo. Kumbuka mwanangu.Sawa Gambo, lakini Makonda ndio mbunge wetu ajae wa Arusha, hakuna wa kushindana nae
🤣🤣🤣🤣🤣Wazungu wenyewe wehu tu, tuko nao hapa arusha wanavuta bangi hatari
I love ArushaMakonda ameifanya Arusha kuchangamka mno. Dar Es Salaam tume miss miubunifu yake.