Makonda: Jakobo alipochinjwa, Kanisa liliomba, halikutoa tamko au waraka.

Makonda: Jakobo alipochinjwa, Kanisa liliomba, halikutoa tamko au waraka.

Matendo ya Mitume 12 (Biblia Takatifu)
¯¯¯¯¯¯¯¯¯¯
¹ Panapo majira yale yale Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa.
² Akamwua Yakobo, ndugu yake Yohana, kwa upanga.
 
Kweli siku hizi mahubiri yanachangana. Wahubiri wa kweli myakanushe haya ya wahubiri uchwara.
 
Hayo makanisa ya matapeli ndio yanasomba hadi mazero brain.
 
Back
Top Bottom