cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
Mimi namkubali Makonda katika utendaji wake ila kwa aliyopitia sidhani kama tutakuwa na Makonda yule tuliyemzoea kaandamwa sana katengwa kadhalilishwa nadhani sasa ana inferiority complex kule kujiamini kama alivyokuwa mwanzoni na mbwembwe hazipo tena kiufupi amepoa just my opinion
Na pia inaonekana hata iyo teuzi aliyopata hajaifurahia kabisa, nikama vile umechapwa na mama alaf baadae anakuita mwanangu njoo chukua andaziiiiiii eeeh