dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
we phaller jisajili uwe mganga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima yako mkuu, unaonekana mtu mzito ndani ya system tena zaidi ya kigogoHaya sasa
Na kimetokea.Sawa kama tutakuwa hai. Basi ngoja tusubiri kuona kama hichi ulichoandika kitatokea
Heshima yako mkuu, unaonekana mtu mzito ndani ya system tena zaidi ya kigogo
Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
Haya sasa
Watu (wewe na mtoa mada) mnaona mbali hongereni sana.Mtoa taarifa wangu amethibitisha , kwanza atateuliwa ccm halafu baadaye serikalini
Mtoa taarifa huyu alinidokeza wiki moja kabla kwamba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinarejeshwa , nikabisha
Ikiwa kama Mnyeti amerejeshwa pamoja na uchafu wake wote , basi huenda Makonda naye akarudi
Kashapewa teuzi?Watu (wewe na mtoa mada) mnaona mbali hongereni sana.
Upo usingizini? Unawajuwa vizuri Ccm?Haitotokea , Ban ya pompeo haijafungiliwa ccm sio wajinga labda wawe wajinga
Na
Tuwe makini propaganda za ccm zinatutoa kujadili oparesheni 255 inayopigwa Kanda ya KATI na mchakato wa bandari mpya
Mkuu mambo vipiBashite alikosea kuyatimba kwa pompeo. Huyo teuzi asahau na istoshe yule ni mjinga na mshamba at the same time. Akiteuliwa atawagawa hao ccm mana weng hawampend na ndo wamekamatia mpini saiv. Go to hell bashte
bro una hali ngumu sanaBashite alikosea kuyatimba kwa pompeo. Huyo teuzi asahau na istoshe yule ni mjinga na mshamba at the same time. Akiteuliwa atawagawa hao ccm mana weng hawampend na ndo wamekamatia mpini saiv. Go to hell bashte