Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

Makonda kupata teuzi wakati wowote kutoka sasa

Haitotokea , Ban ya pompeo haijafungiliwa ccm sio wajinga labda wawe wajinga

Na
Tuwe makini propaganda za ccm zinatutoa kujadili oparesheni 255 inayopigwa Kanda ya KATI na mchakato wa bandari mpya
 
Mtoa taarifa wangu amethibitisha , kwanza atateuliwa ccm halafu baadaye serikalini

Mtoa taarifa huyu alinidokeza wiki moja kabla kwamba cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinarejeshwa , nikabisha

Ikiwa kama Mnyeti amerejeshwa pamoja na uchafu wake wote , basi huenda Makonda naye akarudi
Watu (wewe na mtoa mada) mnaona mbali hongereni sana.
 
Back
Top Bottom