kama wewe makazi yako siku zote ni ndani ya pango lenye kiza kikubwa, kusikofika na mwanga wowote, nipo tayari kukupa hiyo mifano unayoitaka wewe kwa vile hakuna lolote unalolifahamu.
Unachotakiwa hapa, nipe tu ushahidi wa kuonyesha kuwa makazi yako ni pangoni, nami nipo tayari kukupa shule kamili ili kuondoa ujinga wako.