Makonda kuwa Waziri kwenye Wizara nyeti 2025 na mgombea urais 2030, na kuwa the Next Magu

Embu subiri,kumbe Dola ndio inaamua Nani asimame ?.

Basi kama niivo, Makonda anaweza kua ni Rais Ajaye.
 
Haitaweza kuwezekana kwa huyo mtu kuwa Rais wa nchi hii. Hilo haliwezekani
 
Hata Kaa apate ata Unaibu Waziri, kwanza Mrengo wa mama ukipita watamfukuzia mbali akaungane na CCM B yakina Zitto.
 
Bora usisubiri.
Hapa Makonda anatumiwa kama toilet paper kuwapoza wasukuma ili kupunguza makali ya 2025.

Ukweli mchungu Msoga wenye nchi kamwe hawataki hata kumsikia Makonda.
Pia Kinana na Makonda haziivi hata chembe


“Msoga wenye nchi….”


Au sio??
 
Mwanangu Makonda, chapa kazi.
Watanzania wazalendo tunakuelewa na tunakufuatilia kwa umakini wa hali ya juu.
Itoshe tu kusema, kwa sasa wewe ndo shujaa wa Taifa hili.
 
Una hakika atafika hiyo 2025? Kuna damu nyingi za watu wasiokuwa na hatia zinamlilia huyu mwovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…