Makonda: Kwa taarifa yenu sifi! Mtege sumu kwenye vyumba mnapoteza muda tu

I wish it was easy like this
 
Pale muuaji anapolia kutaka kuuawa
Ndio maana kenye mafia Rules nakumbuka Salvatore Gravano (Sammy Gravano) au Sammy the Bull aliwahi kusema 'We kill Ourselves' akimaanisha mafia huuana wao kwa wao, hawahitaji kuua mtu aliye nje ya circle yao.
 
Sifi?....hahahaha..
Kashasahau..binadamu tunachekesha sana
Hii dunia ina mwenyewe jamani..
 
Sasa Shujaa Magufuli apumzike kwa Amani

Ahsante Sana kwa Zawadi uliyotuachia ya Huyu Bwana mdogo Paul Makonda 😄

Navalonge swela 😂
Unaaminije hakuhusika katika safe process!!?

Muwe mnafikiria!!Mimi nadhani. anamtumia muhusika kujiinua kisiasa lakini sio mwana legacy yake hata!!

Na kama kweli wamedhamiria kumuondoa muhusika hawezi kwepa mitego Yao walioamua kufanya hivyo!!

Huwezi pambana nao ukashinda historian ni mwalimu mzuri sana!!
 
Ukiona hivyo ujue his days are numbered, washamuweka kwenye tight angle kama sio tyre kuchomoka basi ugonjwa utakaomla slowslow until his death.

Watu wakikutaka hata ujifiche wp watakunyakua tuu.

Kama watu walikata kichwa cha nyoka hawashindwi kiwiliwili.

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Mbona anaanza kuweweseka? Usikute ndiyo sumu imeshaanza kufanya kazi
 

CCM, bila shaka, ni chama cha kishetani ambacho watu wake wengi wanaamini katika nguvu za giza.

Shetani hukupa mafanikio ya muda mfupi ili ujisahau, lakini hawezi kukupa mafanikio ya kudumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…