Makonda: Marufuku kudai nyongeza ya mshahara! Nashangaa watu wanapita na mabango, mie ningewachapa

Nani analeta habari za Bashite huku tulishakubaliana hakuna kuandika habari zake.
 

So Hizo kazi ambazo hawafanyi huwa unafanya ww na bashite[emoji57][emoji57]
 

Kwa hiyo siku hizi mishahara inalipwa kwa watumishi wasiofanya kazi?! Acha ujuha!!
 
Nanukuu: Kwanza adhabu ya viboko ni ndogo haitoshi, ningekuwa ni mm sijui ningewafanyaje

Anauliza mkuu wa mkoa, Paul Makonda
 
Hivi ndio nani huyo? Ni Waziri Mkuu au Wa kazi na Ajira? au ndio Waziri wa Utumishi wa Umma?
 
Kwani mikataba ya hao wafanyakazi inasemaje juu ya nyongeza ya mshahara? Je, wa kwake unasemaje?
 
Afadhali mtoa mada ameanza kuleta habari za Makonda baada ya wale wengine kugoma....leta habari zote za huyo bwana...kuna watu wengi wanapenda kusikiliza habari zake....we leta iwe usiku mchana...jua mvua....we leta tu. Na viboko wachapwe tu maana watu wengi wanaazima akili kwa wengine...viboko vihusike tu. Siku ya sherehe nyie mnagoma....haiwezekani!!
 
Huyo ni mshamba tu hana lolote lile anahisi matatizo yanatatuliwa kwa siasa siasa au matakwa ya makonda aende statue kero ya maji kigamboni imegeuka ziwa kwenye nyumba za watu
 
Kudai nyongeza ya mshahara ni haki ya mfanyakazi...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…