Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Hata hujui ulichoandika!Afadhali mtoa mada ameanza kuleta habari za Makonda baada ya wale wengine kugoma....leta habari zote za huyo bwana...kuna watu wengi wanapenda kusikiliza habari zake....we leta iwe usiku mchana...jua mvua....we leta tu. Na viboko wachapwe tu maana watu wengi wanaazima akili kwa wengine...viboko vihusike tu. Siku ya sherehe nyie mnagoma....haiwezekani!!