Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu.
Your browser is not able to display this video.
======================
For English Audience
The 2025 political winds have already started blowing and statements from politicians are emerging. Makonda, believe President Samia is God chosen and even Mbowe know that. And he also said that once she took over the first thing she did was reconcile the Tanzanians with out considering the difference of political parties, ethnic group or status.
Nilishasema na kuandika sana humu kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe na kwamba Mungu ndiye aliyemuinua Rais Samia kwa mkono wake Mwenyewe.na kwamba kamwe na katu hawezi kushushwa na mkono wa mwanadamu kwa kuwa mkono uliomuinua Dr Samia Ni mkubwa na wenye nguvu kuliko mkono wa mwanadamu yeyote yule hapa chini ya jua.

Tuamini ya kwamba ametumwa na haya maneno au ulevi wa madaraka, Rais Samia jitathmini na waongeaji hovyo wa hivi epuka kujikwaa mara Kwa mara chama kinahitaji watu makini Kwa ndimi zao na matendo pia .
Huku ni kutoa Thamani za kufikiri Kwa Wana CCM wenzie.
Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu.
Rais Samia anaongoza Taifa akiwa na kibali cha Mwenyezi Mungu mkononi mwake. Ndio maana unaona Taifa likiwa limetamalaki kwa amani na utulivu.kila agusapo Rais Samia panabarikiwa na kupata mafanikio.
Kwahio anaenda lini Mbinguni tupumzike? I think Makonda is communicating a very clear message, sidhani kama inahitaji nyongeza, she will be on her way to heaven soon, ticket iko booked. Asante Makonda