Pre GE2025 Makonda: Mbinguni walimchukulia fomu Rais Samia. Adai Mbowe anajua kama Samia ametumwa na Mungu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu.

Huko mbinguni wewe ulishuhudia hiyo fomu ikiwa ina chukuliwa ?! Kama siyo uchawa ni nini sasa. ?!
 
Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu.

Kauli hii iwe wake up call kwa wanaotumia akili chamani.

Mbingu ikikuchukulia form ina maana gani?

Je Samia naye ataitwa kwenda kuwa kiongozi wa malaika?
 
Nilishasema na kuandika sana humu kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe na kwamba Mungu ndiye aliyemuinua Rais Samia kwa mkono wake Mwenyewe.na kwamba kamwe na katu hawezi kushushwa na mkono wa mwanadamu kwa kuwa mkono uliomuinua Dr Samia Ni mkubwa na wenye nguvu kuliko mkono wa mwanadamu yeyote yule hapa chini ya jua.
Leo hujaweka no kaka Luca. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muda sio mrefu tutasikia taarifa ya bendera kupeperushwa nusu mlingoti. Maana ili ukachukue fomu mbinguni fomu lazima ufe.
 
Shetani akitaka akumalize, kwanza hukupofusha akili kama alivyofanywa huyu muuaji Makonda.

Anachokitafuta kuna siki atakipata. Mungu hadhihakiwi.
 
Nilishasema na kuandika sana humu kuwa Rais Samia ni mpango wa Mungu Mwenyewe na kwamba Mungu ndiye aliyemuinua Rais Samia kwa mkono wake Mwenyewe.na kwamba kamwe na katu hawezi kushushwa na mkono wa mwanadamu kwa kuwa mkono uliomuinua Dr Samia Ni mkubwa na wenye nguvu kuliko mkono wa mwanadamu yeyote yule hapa chini ya jua.
Wewe punguani na huyo muuaji wako, mnachokitafuta, mtajibiwa.
 
Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu.

Hata biblia inasema mamlaka yoyote hapa duniani yanatoka kwa Mungu.Kwamba tuiheshimu mamlaka kwa sababu Mungu ndio kaiweka.
 
Na anayenenewa maneno haya kakaa kimya? Muislamu Safi unaambiwa fomu yako ya kugombea imechukuliwa mbinguni na wewe unashangilia?
 
Ina maana anaenda kugombea Urais wa mbinguni? Ni mbingu gani hiyo onayoongozwa na Rais?
 
Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu.

Hii tabia ya kumkufuru Mungu as if no mjomba wao so nzuri and it will backfire. As ilivyo backfire hapo nyuma
 
Kipenga cha 2025 kishapulizwa na kauli za wanasiasa zishaanza, Makonda akiwa Hai kasema mbinguni walishamchukulia fomu Rais Samia na hata mbunge wa zamani wa Hai(Mbowe) anajua Rais Samia ametumwa na Mungu.

Kwa taifa liliasisiwa na aina ya kina JKN (RIP) ni najisi kuongozwa na zuzu yeyote yule. Kama 'zuzu' limependeka mkanywe nalo chai, kusanyeni kwenye uzuzu, uzwazwa wenu kama kikundi na mbakie humo. Sio 🚨
 
Huyo ni kiongozi wa chama ana akili za hovyo hivyo unategemea atakua na mawazo gani makubwa chanya kwaajili yakuipeleka nchi mbele.Kwa hakika ni hakuna.
 
Back
Top Bottom