Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

Anachokifanya Mpina kinaleta nini?
#AgainstUchochezi
#AgainstUzandiki
#AgainstUtengano
Twende taratibu......

Kwanini asijibiwe kwa hoja za KIUCHAMBUZI dhidi ya alichokisema zaidi ya kuingiza CONSPIRACY THEORIES?!!!

Kwa hiyo huyo Mpina asichangie tena bungeni mpaka mwaka 2025 kwa hoja tu ya kuogopa kila atakalochangia litachukuliwa kuwa ni la hao waitwao "SG"?!!!!

Hebu kuweni na MIZANI juu ya kusigana huko kusiko na afya kwa taifa.........

#Against Racism
#Against Bigotry
#Against Tribalism
#Against All Forms Of Hatred
#Do Not Do Harm

#SIEMPRE JMTšŸ™
 
Tarehe 7 mwezi Aprili 2022, kwa mara nyingine tena Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina LM kupitia Chaneli ya Mtandao wa YouTube ya Dar24 alijitokeza hadharani kuishambulia Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais, Samia Suluhu Hassan (SSH) kwa kivuli cha kumshambulia Waziri wa Nishati January Makamba (JM) kwa kile alichokieleza kuwa JM ni mhujumu uchumi ambaye amekuwa akienda kinyume na maagizo ya Rais Samia. Je hii ni bahati mbaya? Unadhani LM amekurupuka?

Kabla hatujasonga mbele sana nikumbushe tu kuwa LM aliwahi kuhudumu kama Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira wakati huo Waziri akiwa ni JM na Makamu wa Rais akiwa ni SSH na mambo hayakwenda sawasawa baina yao sababu LM alihisi kuwa hapewi nafasi ya kusikilizwa sana na SSH na hii ni kutokana na mchango wako kuwa mdogo katika mambo ya Muungano na Mazingira. Lakini kwa kuwa LM alikuwa anatoka ukanda mmoja na Hayati JPM yeye alikuwa akienda kushtaki kwa "Baba" na alihakikishiwa kuwa kila kitu kitakuwa sawa na hatimaye akapewa Uwaziri wa Mifugo na Uvuvi na JM akavuliwa Uwaziri jambo lililopelekea dharau kushamiri kati yake na JM lakini pia kati yake na SSH akiamini kuwa hana nguvu yoyote bali mwenye nguvu ni JPM pekee. Muda ukasonga tukapata msiba na leo hii tuko hapa LM ni Mbunge wa kawaida tu, JM ni Waziri wa Nishati, SSH ndiye Rais na Amiri Jeshi Mkuu, na ile iliyokuwa ikiitwa SG karibu yote haina Mamlaka ya kutisha tena.

Sasa SG wameona jiko lina majivu kwa juu hivyo wanatikisa ili kujua chini kuna moto kiasi gani, ili wajue kama utawachoma au wanaweza kuuzima. SG bado wana ndoto za kumuweka Rais wako katika uchaguzi ujao wa 2025, bado hawajaamini kuwa wamepoteza nguvu kabisa na mipango yao ya kidikteta imezimika kama mshumaa uliomwagiwa maji, bado wanachokonoa waone nguvu ya Rais.

KWANINI INASEMWA MPINA AMEMSHAMBULIA RAIS NA SIO WAZIRI
Mpina anagusia agizo la kuondolewa kwa tozo ya Shilingi 100 akisema Waziri alimdanganya Mheshimiwa Rais. Ukirudi katika taarifa toka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliyosainiwa Jafar Haniu ya tarehe 05 Oktoba 2021 ilieleza kuwa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo kwenye mafuta zenye thamani ya Shilingi Bilioni 102 kwa mwaka. Rais aliagiza ufanyike haraka mchakato wa kupeleka marekebisho ya Sheria bungeni endapo zipo sheria zinazohitaji mabadiliko ili kukabiliana na kupanda kwa bei ya mafuta (BOFYA HAPA KUSOMA BARUA HIZO).

KAMA MHESHIMIWA RAIS NDIYE ALITOA AGIZO NA LEO HII MPINA ANATOKA HADHARANI KUMKOSOA WAZIRI KWA MAAGIZO ALIYOTOA RAIS NI WAZI KUWA WAZIRI HAPO NI KIVULI TU, ANAYESHAMBULIWA NI RAIS NA MPINA AMETANGULIZWA TU KAMA CHAMBO ILI KUONA RAIS ATACHUKUA HATUA GANI

Baada ya kelele za Mpina Jana (11 April 2022) ameibuka aliyekuwa RC wa Dar es Salaam Paul C. Makonda akieleza kuwa kuna wanaotaka kumtoa uhai kwa mambo aliyoyafanya akiwa madarakani.
Sote tunafahamu aliyoyafanya Makonda, hakuna haja ya kuyarudia, sote tunafahamu furaha alizoleta kwa wananchi lakini tunafahamu machungu machozi na maumivu aliyosababishia Watanzania na pia tunafahamu yeye pia (Makonda) ni mhanga wa SG, hivyo baada ya karata ya kwanza ya Mpina kutoka sasa wamekuja na karata ya pili ambayo ni Makonda. Bado wanapima kuona Rais na Serikali vitachukua hatua gani. Na hii ni mbinu ya kuirudisha nyuma Serikali kuwachukulia hatua za kisheria wanaostahili, mimi ninamini Rais Samia ni Imara na atasimama kidete kwa maslahi ya nchi, hatoyumbishwa na SG au yeyote na kama kuna anayepaswa kuelekea Segerea kwa makosa aliyoyafanya huko nyuma basi sheria ifuate mkondo wake. SG watulie dawa iwaingie, ule wakati wa kuongoza nchi kwa mkono wa chuma umekwisha, kulialia na kutafuta huruma ya wananchi hakutowarejesha madarakani au kuwapeusha na mkono wa sheria, kwa Serikali hii ya Mama hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe lingine, wote tutarudi kwenye mstari

View attachment 2184762

View attachment 2184763

View attachment 2184764
Wewe jamaa bana. Sijui hata unaishije na familia yako.

Ila sawa tu, utakuja kufa na kipusa. Unavyochonganisha utazani Samia anatawala milele.
 
Hao toilet pepa acha watumike 2025 wataanza kubembeleza kura za hao wanaowatukana sasa.

#MaendeleoHayanaChama
Umejawa na ujinga mwingi sana

Ninyi ndio baba wa taifa hayati NYERERE anaendelea kuwapinga hadi leo katika vitabu vyake vinavyoishi......

ACHA UMIMI
ACHA UBAGUZI
 
Ila muelewe kwamba yoote mnayoyafanya kwa sasa.

Watanzania wanawaona na kuwapima.

Endeleeni na furaha yenu inayotokana na mliyempoteza.

It's a matter of time
IMG-20220109-WA0008.jpg
20220412_101013.jpg
 
Acha uongo, savi kila mtanzania ni mwelewa.
 
Hilo jina silipendi sana..kwanini msitumia magufuli gang..kuliko kuliingiza kabila zima kwenye huo upumbafu..lengo lenu nini hasa.?

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu, ni kweli kabisa. Matumizi ya haya maneno "Sukuma Gang" yanaamsha hisia mbaya kwa watu wengi wa kanda ya ziwa, na hasa kwa kabila la Wasukuma. Ni vyema watu tufanye hima kuepuka matumizi yake, kwa kuwa yana kila dalili za ubaguzi ndani yake na kutaka kuwafanya watu waonekane kuwa duni.

Kama lipo kundi lenye mapenzi na "connection" na enzi ya mwendazake, basi na litambulike kivingine. Lakini si kwa jina hili lenye kuhusisha kabila zuri la Kisukuma.
 
Kura turufu ya nyoko. Huu ndiyo ujinga mnaotumia kujitambua kama wasukuma huku Geita vijijini Mpina alituchomea nyavu zetu si wavuvi kama mtoto aliyelelewa ziwani hawezi kufanya hivi Mpina aliua uchumi wa ziwa Victoria Na kuleta umaskini kaya za usukumani kwa asilimia 90.
Acha kuropoka, tafuta facts kabla ya kuanza kubwabwaja.

Uzalishaji wa samaki uliongezeka kwa kiwango kikubwa sana baada ya kudhibiti uvuvi haramu, sisi wananchi wa Ziwa Victoria tunujua ukweli
 
Umepaniki wewe..ila ni kutaarifu tu siasa za utengeno mnazozifanya hazitawasaidia kitu..zitawangamiza mana kundi mnalolishambulia nikubwa sana na linaelewa nini kinachoendelea...swindlers wakubwa ninyi.

#MaendeleoHayanaChama

Ni watu wachache wanaelewa juu ya hao wasaka madaraka wenye chuki. Waliishi kwa kutengeneza sumu.
Msukuma King mbona hatajwi kwenye haya matakataka yenu.
 
Twende taratibu......

Kwanini asijibiwe kwa hoja za KIUCHAMBUZI dhidi ya alichokisema zaidi ya kuingiza CONSPIRACY THEORIES?!!!

Kwa hiyo huyo Mpina asichangie tena bungeni mpaka mwaka 2025 kwa hoja tu ya kuogopa kila atakalochangia litachukuliwa kuwa ni la hao waitwao "SG"?!!!!

Hebu kuweni na MIZANI juu ya kusigana huko kusiko na afya kwa taifa.........

#Against Racism
#Against Bigotry
#Against Tribalism
#Against All Forms Of Hatred
#Do Not Do Harm

#SIEMPRE JMT[emoji120]

Mpambavu anajibiwa kiwango sawa na upumbavu wake...!
 
Acha kuropoka, tafuta facts kabla ya kuanza kubwabwaja.

Uzalishaji wa samaki uliongezeka kwa kiwango kikubwa sana baada ya kudhibiti uvuvi haramu, sisi wananchi wa Ziwa Victoria tunujua ukweli

Hizo data za mkaango ndiyo unaleta hapa. Mpeleke mpina Geita vijijini kama hajarudi mlemavu.
 
Mkuu, ni kweli kabisa. Matumizi ya haya maneno "Sukuma Gang" yanaamsha hisia mbaya kwa watu wengi wa kanda ya ziwa, na hasa kwa kabila la Wasukuma. Ni vyema watu tufanye hima kuepuka matumizi yake, kwa kuwa yana kila dalili za ubaguzi ndani yake na kutaka kuwafanya watu waonekane kuwa duni.

Kama lipo kundi lenye mapenzi na "connection" na enzi ya mwendazake, basi na litambulike kivingine. Lakini si kwa jina hili lenye kuhusisha kabila zuri la Kisukuma.
Kweli kabisa, hii kampeni chafu inayoratibiwa na wachaga itatuvuruga sana kama hekima haitatumika.

Kama JPM aliwaumiza wasiwaingize Wasukuma wote, unatuingiza hata ambao hatukuwa na elements za ukabila tuanze kuwa wakabila
 
Back
Top Bottom