Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mnaendelea kufurahia kifo. Kama SG hawajamaliza msiba, basi Msoga Gang(MG) bado nao hawajamaliza furaha yao. Dah! Kazi kwa mama Tanzania.Tarehe 7 mwezi Aprili 2022, kwa mara nyingine tena Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina LM kupitia Chaneli ya Mtandao wa YouTube ya Dar24 alijitokeza hadharani kuishambulia Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais, Samia Suluhu Hassan (SSH) kwa kivuli cha kumshambulia Waziri wa Nishati January Makamba (JM) kwa kile alichokieleza kuwa JM ni mhujumu uchumi ambaye amekuwa akienda kinyume na maagizo ya Rais Samia. Je hii ni bahati mbaya? Unadhani LM amekurupuka?
Kabla hatujasonga mbele sana nikumbushe tu kuwa LM aliwahi kuhudumu kama Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira wakati huo Waziri akiwa ni JM na Makamu wa Rais akiwa ni SSH na mambo hayakwenda sawasawa baina yao sababu LM alihisi kuwa hapewi nafasi ya kusikilizwa sana na SSH na hii ni kutokana na mchango wako kuwa mdogo katika mambo ya Muungano na Mazingira. Lakini kwa kuwa LM alikuwa anatoka ukanda mmoja na Hayati JPM yeye alikuwa akienda kushtaki kwa "Baba" na alihakikishiwa kuwa kila kitu kitakuwa sawa na hatimaye akapewa Uwaziri wa Mifugo na Uvuvi na JM akavuliwa Uwaziri jambo lililopelekea dharau kushamiri kati yake na JM lakini pia kati yake na SSH akiamini kuwa hana nguvu yoyote bali mwenye nguvu ni JPM pekee. Muda ukasonga tukapata msiba na leo hii tuko hapa LM ni Mbunge wa kawaida tu, JM ni Waziri wa Nishati, SSH ndiye Rais na Amiri Jeshi Mkuu, na ile iliyokuwa ikiitwa SG karibu yote haina Mamlaka ya kutisha tena.
Sasa SG wameona jiko lina majivu kwa juu hivyo wanatikisa ili kujua chini kuna moto kiasi gani, ili wajue kama utawachoma au wanaweza kuuzima. SG bado wana ndoto za kumuweka Rais wako katika uchaguzi ujao wa 2025, bado hawajaamini kuwa wamepoteza nguvu kabisa na mipango yao ya kidikteta imezimika kama mshumaa uliomwagiwa maji, bado wanachokonoa waone nguvu ya Rais.
KWANINI INASEMWA MPINA AMEMSHAMBULIA RAIS NA SIO WAZIRI
Mpina anagusia agizo la kuondolewa kwa tozo ya Shilingi 100 akisema Waziri alimdanganya Mheshimiwa Rais. Ukirudi katika taarifa toka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliyosainiwa Jafar Haniu ya tarehe 05 Oktoba 2021 ilieleza kuwa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo kwenye mafuta zenye thamani ya Shilingi Bilioni 102 kwa mwaka. Rais aliagiza ufanyike haraka mchakato wa kupeleka marekebisho ya Sheria bungeni endapo zipo sheria zinazohitaji mabadiliko ili kukabiliana na kupanda kwa bei ya mafuta (BOFYA HAPA KUSOMA BARUA HIZO).
KAMA MHESHIMIWA RAIS NDIYE ALITOA AGIZO NA LEO HII MPINA ANATOKA HADHARANI KUMKOSOA WAZIRI KWA MAAGIZO ALIYOTOA RAIS NI WAZI KUWA WAZIRI HAPO NI KIVULI TU, ANAYESHAMBULIWA NI RAIS NA MPINA AMETANGULIZWA TU KAMA CHAMBO ILI KUONA RAIS ATACHUKUA HATUA GANI
Baada ya kelele za Mpina Jana (11 April 2022) ameibuka aliyekuwa RC wa Dar es Salaam Paul C. Makonda akieleza kuwa kuna wanaotaka kumtoa uhai kwa mambo aliyoyafanya akiwa madarakani.
Sote tunafahamu aliyoyafanya Makonda, hakuna haja ya kuyarudia, sote tunafahamu furaha alizoleta kwa wananchi lakini tunafahamu machungu machozi na maumivu aliyosababishia Watanzania na pia tunafahamu yeye pia (Makonda) ni mhanga wa SG, hivyo baada ya karata ya kwanza ya Mpina kutoka sasa wamekuja na karata ya pili ambayo ni Makonda. Bado wanapima kuona Rais na Serikali vitachukua hatua gani.
Na hii ni mbinu ya kuirudisha nyuma Serikali kuwachukulia hatua za kisheria wanaostahili, mimi ninamini Rais Samia ni Imara na atasimama kidete kwa maslahi ya nchi, hatoyumbishwa na SG au yeyote na kama kuna anayepaswa kuelekea Segerea kwa makosa aliyoyafanya huko nyuma basi sheria ifuate mkondo wake. SG watulie dawa iwaingie, ule wakati wa kuongoza nchi kwa mkono wa chuma umekwisha, kulialia na kutafuta huruma ya wananchi hakutowarejesha madarakani au kuwapeusha na mkono wa sheria, kwa Serikali hii ya Mama hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe lingine, wote tutarudi kwenye mstari
TAKBIRI TAKBIRI INCHI NI MWIKO NARUDIA NI MWIKO KUONGOZWA NA WASUKUMA,WANYAKYUSA NA WACHAGGA NI MWIKO MWIKO MWIKO /CHAMA HAKIWEZI KUFANYA KOSA TENA TUTAONGOZWA NA MAKABILA MADOGO MADOGO YENYE UTU NA UANADAMU.Ila muelewe kwamba yoote mnayoyafanya kwa sasa.
Watanzania wanawaona na kuwapima.
Endeleeni na furaha yenu inayotokana na mliyempoteza.
It's a matter of time
View attachment 2184795View attachment 2184796
..You need to stop the nonsense kwamba kanda ya ziwa kuna kura nyingj.Naona umetumwa kuja kuchonganisha..tambueni kanda ya ziwa ndio wenye kura ya turufu..mtakuja mnalialia tu kuwaomba wawaunge mkono..kuweni makini sana na hizi siasa ya utengano mnazozianzisha.
Endelea kupumzika kwa amani JPM rais uliyekua na maono makubwa kwa nchi hii.
#MaendeleoHayanaChama
Asilimia kubwa ya sukuma gang ni wakurupukaji kama mwendazake.Tarehe 7 mwezi Aprili 2022, kwa mara nyingine tena Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina LM kupitia Chaneli ya Mtandao wa YouTube ya Dar24 alijitokeza hadharani kuishambulia Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe Rais, Samia Suluhu Hassan (SSH) kwa kivuli cha kumshambulia Waziri wa Nishati January Makamba (JM) kwa kile alichokieleza kuwa JM ni mhujumu uchumi ambaye amekuwa akienda kinyume na maagizo ya Rais Samia. Je hii ni bahati mbaya? Unadhani LM amekurupuka?
Kabla hatujasonga mbele sana nikumbushe tu kuwa LM aliwahi kuhudumu kama Naibu Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira wakati huo Waziri akiwa ni JM na Makamu wa Rais akiwa ni SSH na mambo hayakwenda sawasawa baina yao sababu LM alihisi kuwa hapewi nafasi ya kusikilizwa sana na SSH na hii ni kutokana na mchango wako kuwa mdogo katika mambo ya Muungano na Mazingira. Lakini kwa kuwa LM alikuwa anatoka ukanda mmoja na Hayati JPM yeye alikuwa akienda kushtaki kwa "Baba" na alihakikishiwa kuwa kila kitu kitakuwa sawa na hatimaye akapewa Uwaziri wa Mifugo na Uvuvi na JM akavuliwa Uwaziri jambo lililopelekea dharau kushamiri kati yake na JM lakini pia kati yake na SSH akiamini kuwa hana nguvu yoyote bali mwenye nguvu ni JPM pekee. Muda ukasonga tukapata msiba na leo hii tuko hapa LM ni Mbunge wa kawaida tu, JM ni Waziri wa Nishati, SSH ndiye Rais na Amiri Jeshi Mkuu, na ile iliyokuwa ikiitwa SG karibu yote haina Mamlaka ya kutisha tena.
Sasa SG wameona jiko lina majivu kwa juu hivyo wanatikisa ili kujua chini kuna moto kiasi gani, ili wajue kama utawachoma au wanaweza kuuzima. SG bado wana ndoto za kumuweka Rais wako katika uchaguzi ujao wa 2025, bado hawajaamini kuwa wamepoteza nguvu kabisa na mipango yao ya kidikteta imezimika kama mshumaa uliomwagiwa maji, bado wanachokonoa waone nguvu ya Rais.
KWANINI INASEMWA MPINA AMEMSHAMBULIA RAIS NA SIO WAZIRI
Mpina anagusia agizo la kuondolewa kwa tozo ya Shilingi 100 akisema Waziri alimdanganya Mheshimiwa Rais. Ukirudi katika taarifa toka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu iliyosainiwa Jafar Haniu ya tarehe 05 Oktoba 2021 ilieleza kuwa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo kwenye mafuta zenye thamani ya Shilingi Bilioni 102 kwa mwaka. Rais aliagiza ufanyike haraka mchakato wa kupeleka marekebisho ya Sheria bungeni endapo zipo sheria zinazohitaji mabadiliko ili kukabiliana na kupanda kwa bei ya mafuta (BOFYA HAPA KUSOMA BARUA HIZO).
KAMA MHESHIMIWA RAIS NDIYE ALITOA AGIZO NA LEO HII MPINA ANATOKA HADHARANI KUMKOSOA WAZIRI KWA MAAGIZO ALIYOTOA RAIS NI WAZI KUWA WAZIRI HAPO NI KIVULI TU, ANAYESHAMBULIWA NI RAIS NA MPINA AMETANGULIZWA TU KAMA CHAMBO ILI KUONA RAIS ATACHUKUA HATUA GANI
Baada ya kelele za Mpina Jana (11 April 2022) ameibuka aliyekuwa RC wa Dar es Salaam Paul C. Makonda akieleza kuwa kuna wanaotaka kumtoa uhai kwa mambo aliyoyafanya akiwa madarakani.
Sote tunafahamu aliyoyafanya Makonda, hakuna haja ya kuyarudia, sote tunafahamu furaha alizoleta kwa wananchi lakini tunafahamu machungu machozi na maumivu aliyosababishia Watanzania na pia tunafahamu yeye pia (Makonda) ni mhanga wa SG, hivyo baada ya karata ya kwanza ya Mpina kutoka sasa wamekuja na karata ya pili ambayo ni Makonda. Bado wanapima kuona Rais na Serikali vitachukua hatua gani.
Na hii ni mbinu ya kuirudisha nyuma Serikali kuwachukulia hatua za kisheria wanaostahili, mimi ninamini Rais Samia ni Imara na atasimama kidete kwa maslahi ya nchi, hatoyumbishwa na SG au yeyote na kama kuna anayepaswa kuelekea Segerea kwa makosa aliyoyafanya huko nyuma basi sheria ifuate mkondo wake. SG watulie dawa iwaingie, ule wakati wa kuongoza nchi kwa mkono wa chuma umekwisha, kulialia na kutafuta huruma ya wananchi hakutowarejesha madarakani au kuwapeusha na mkono wa sheria, kwa Serikali hii ya Mama hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe lingine, wote tutarudi kwenye mstari
Maono ya kuifanya Chato kuwa jiji na baadaye kuwa nchi.Naona umetumwa kuja kuchonganisha..tambueni kanda ya ziwa ndio wenye kura ya turufu..mtakuja mnalialia tu kuwaomba wawaunge mkono..kuweni makini sana na hizi siasa ya utengano mnazozianzisha.
Endelea kupumzika kwa amani JPM rais uliyekua na maono makubwa kwa nchi hii.
#MaendeleoHayanaChama
Watu mna mambo??Kweli tutafute Jina jingine kama
JIWE NA WARUNDI WALOWEZI
(JIWAWA)
Ukweli unauma sana,pole sana na nimekubali maneno yako asilimia mia,ila siku nyingine mkipata mtu wa kwenu kama anakosea kuweni wazi kupambana naye halafu acheni vijembe kwa matabaka mengine ya watu ili tusiendelee na haya mambo machafu ya kuchambana.Mkuu, ni kweli kabisa. Matumizi ya haya maneno "Sukuma Gang" yanaamsha hisia mbaya kwa watu wengi wa kanda ya ziwa, na hasa kwa kabila la Wasukuma. Ni vyema watu tufanye hima kuepuka matumizi yake, kwa kuwa yana kila dalili za ubaguzi ndani yake na kutaka kuwafanya watu waonekane kuwa duni.
Kama lipo kundi lenye mapenzi na "connection" na enzi ya mwendazake, basi na litambulike kivingine. Lakini si kwa jina hili lenye kuhusisha kabila zuri la Kisukuma.
East Africa especially Tanzania, kura za Urais ni formality tu ndugu, usijitafutie maradhi ya moyo bure.Hao toilet pepa acha watumike 2025 wataanza kubembeleza kura za hao wanaowatukana sasa.
#MaendeleoHayanaChama
Acha uzwazwa wewe hilo kundi la SG ni kundi baya sana kwa usalama wa nchi yetu.Hiyo Sukuma Gang maana yake ni watanzania wanaozidi 27 million kutoka mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara, Shinyanga, Geita, Kagera, Kigoma, Katavi, Rukwa, Tabora, Songwe, Singida, Mbeya, Morogoro, Dodoma, Pwani, Dar, Lindi.
Unapoanza kulibagua kundi hili kubwa ujue kichwani umejaza ubwabwa na hustahili kuwa sehemu ya jamii ya watu wastaarabu
Basi subiri 2025 utaelewa!!Kura ya turufu kufanya nini, kila mmoja ana kura sawa nchi hii na wala hazitahesabiwa wala kupigwa kwa Ukanda na ndio maana tunapinga ukanda
Facts always hurts,mleta mada ni mkabila. Uzi wa kipuuzi Sana huu.kwa sayansi hii mtu bado anaongelea sijui ukanda /kabila pumbavu!!
Acha upumbavu wewe jifunze kwa Malawi na Zambia na siyo SG iliyojifunza ushenzi Burundi,Rwanda,Uganda na DRC.Bado mnaendelea kufurahia kifo. Kama SG hawajamaliza msiba, basi Msoga Gang(MG) bado nao hawajamaliza furaha yao. Dah! Kazi kwa mama Tanzania.
Najua watu wa Kaskazini wapo upande wa MG. Sasa kanda ya Nyanda za Juu Kusini nasi tujiunge na SG.
Sukuma Gang ni wafuasi wa lile dikteta uchwara la kihutu. Yule alijipa kabila la Usukuma ili apate uungwaji mkono kwa vile wasukuma ndiyo kabila lenye idadi kubwa ya watu. Yule alikuwa Mhutu ndiyo maana alikuwa na roho mbaya tofauti na sisi Wasukuma tulivyo.Badilisha jina ndiyo tukuuelewe, vinginevyo sukuma Gang ni wasukuma na muendelee na propaganda zenu chafu za kibaguzi.Mtavuna mnachokitafuta
Mpelekee Bikidude yule kiranja wa wale covid 19
Tangu lini idadi ya kura zikaamua nani awe Raisi nchii hii? Ikitakiwa fulani awe Rais atakuwa tu mtake msitakeNaona umetumwa kuja kuchonganisha..tambueni kanda ya ziwa ndio wenye kura ya turufu..mtakuja mnalialia tu kuwaomba wawaunge mkono..kuweni makini sana na hizi siasa ya utengano mnazozianzisha.
Endelea kupumzika kwa amani JPM rais uliyekua na maono makubwa kwa nchi hii.
#MaendeleoHayanaChama
Nijifunze nini huko ili upumbavu unitoke?Acha upumbavu wewe jifunze kwa Malawi na Zambia na siyo SG iliyojifunza ushenzi Burundi,Rwanda,Uganda na DRC.