Kilimbaym
JF-Expert Member
- Mar 14, 2022
- 452
- 690
Ahahahatupate maneno kidogo
View attachment 2184785
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahatupate maneno kidogo
View attachment 2184785
Wewe ni sawa na wanacdm, wanaandama mitandaoni. Kanda ya ziwa hao wahuni waliotia umaskini kwa kuchoma nyavu na kupiga faini wavuvi hawakubaliki. Huyo Bashite ana tuhuma za kupora kiwanja Mwanza.Umepaniki wewe..ila ni kutaarifu tu siasa za utengeno mnazozifanya hazitawasaidia kitu..zitawangamiza mana kundi mnalolishambulia nikubwa sana na linaelewa nini kinachoendelea...swindlers wakubwa ninyi.
#MaendeleoHayanaChama
Yaani unawaza kupiga kura katika foleni au mtapiga zile za kificho ........na wazee wa hand goal wanawacheki tu!Hao toilet pepa acha watumike 2025 wataanza kubembeleza kura za hao wanaowatukana sasa.
#MaendeleoHayanaChama
Kwa nini ufutwe?? Kama mna ngozi laini vichakani mnafuata nini??Please Please Mods futeni huu uzi....
Please[emoji120]
Ccm hatutegemei kura zenu watanzania ili kubaki madarakani mtupigie msitupigie sisi tushashinda tayariNaona umetumwa kuja kuchonganisha..tambueni kanda ya ziwa ndio wenye kura ya turufu..mtakuja mnalialia tu kuwaomba wawaunge mkono..kuweni makini sana na hizi siasa ya utengano mnazozianzisha.
Endelea kupumzika kwa amani JPM rais uliyekua na maono makubwa kwa nchi hii.
#MaendeleoHayanaChama
Hizo zinakuaga ndani ya Chama.Kura ya turufu kufanya nini, kila mmoja ana kura sawa nchi hii na wala hazitahesabiwa wala kupigwa kwa Ukanda na ndio maana tunapinga ukanda
Kabila lilikuwa la hovyo kabisa hili ktk taifa letu. Isitokee wakashika tena taifa letu.Sukuma Gang wanaanza kupoteana hi Nchi Ngumu sana
Kweli kabisa, hii kampeni chafu inayoratibiwa na wachaga itatuvuruga sana kama hekima haitatumika.
Kama JPM aliwaumiza wasiwaingize Wasukuma wote, unatuingiza hata ambao hatukuwa na elements za ukabila tuanze kuwa wakabila
Hiyo Sukuma Gang maana yake ni watanzania wanaozidi 27 million kutoka mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara, Shinyanga, Geita, Kagera, Kigoma, Katavi, Rukwa, Tabora, Songwe, Singida, Mbeya, Morogoro, Dodoma, Pwani, Dar, Lindi.
Unapoanza kulibagua kundi hili kubwa ujue kichwani umejaza ubwabwa na hustahili kuwa sehemu ya jamii ya watu wastaarabu
Yupi huyo? Nchi unaipendaje?Uungwana kupenda nchi na watu wake badala ya kupenda na kuabudu Mtawala mwenye mabavu.
Waueni wote! Maana ni wa ovyo sana hao! Mbaki nyinyi wa maana! Wasukuma hawatakiwi kabisa!Kabila la hovyo kabisa hili la wasukuma, hovyo kabisa. Mleta mada nimekuelewa kwa mapana, wanaosema legacy ya magufuli itunzwe sijui wanamaanisha legacy ipi. Mtu mwizi, muuaji, tapeli, katili n.k sijui hata nchi alipewa vipi
Kama huyu ni mwanademokrasia kweli, basi awaache wanangorongoro wabaki kwenye ardhi yao ya vizazi na vizazi.Uungwana kupenda nchi na watu wake badala ya kupenda na kuabudu Mtawala mwenye mabavu.
Kabisa, kama walivyoua wenzao na kuwatia kwenye viroba kwenye utawala wa mwendazake, basi na wao watiwe tu kwenye viroba.Waueni wote! Maana ni wa ovyo sana hao! Mbaki nyinyi wa maana! Wasukuma hawatakiwi kabisa!
Yaani wewe ndo mwendawazimu kabisa.Hiyo Sukuma Gang maana yake ni watanzania wanaozidi 27 million kutoka mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara, Shinyanga, Geita, Kagera, Kigoma, Katavi, Rukwa, Tabora, Songwe, Singida, Mbeya, Morogoro, Dodoma, Pwani, Dar, Lindi.
Unapoanza kulibagua kundi hili kubwa ujue kichwani umejaza ubwabwa na hustahili kuwa sehemu ya jamii ya watu wastaarabu
The sleeping giant !! Au ??!Umepaniki wewe..ila ni kutaarifu tu siasa za utengeno mnazozifanya hazitawasaidia kitu..zitawangamiza mana kundi mnalolishambulia nikubwa sana na linaelewa nini kinachoendelea...swindlers wakubwa ninyi.
#MaendeleoHayanaChama
Duh ! Umeamua kuwapa za USOHakuna cha sukuma gang wala mkwere gang, sisi wananchi tunachojua nyie wote ni CCM. Utofauti wenu mkwere gang mnapiga mno mpaka watu wanashtuka wakati sukuma gang wanapiga kwa target na akili nyingi. Nyie ni kama wachungaji mnaogombania waumini kwa ajili ya sadaka na tumechoka maugomvi yenu, kaeni myamalize, mnazinguana huko mnatuletea kelele.
Salaaaleeh !!!Hakuna cha sukuma gang wala mkwere gang, sisi wananchi tunachojua nyie wote ni CCM. Utofauti wenu mkwere gang mnapiga mno mpaka watu wanashtuka wakati sukuma gang wanapiga kwa target na akili nyingi. Nyie ni kama wachungaji mnaogombania waumini kwa ajili ya sadaka na tumechoka maugomvi yenu, kaeni myamalize, mnazinguana huko mnatuletea kelele.
Ungeendlea kuandika haya maandishi kwa herufi kubwa, umenena vyema kabisa. Sukuma Gang imefanya taifa hili watu waishi kwa wasiwasi, akina ben saanane wamepotea, jiulize wazazi wao wanajisikiaje, zanzibar wakaharibu wanavyotaka wao uchaguzi na kuua watu, hapa bara sote twajua alichofanya, akina Lissu walionekana hawana haki ya kuishi, maiti kuokotwa kwenye viroba n.k hovyo kabisa hawa watu.TAIFA ZIMA TUTAPAMBANA NA SUKUMA GANG, nadhani ni wakati sasa wasipewe ata nafasi ya serikali za mitaa, vyama vya siasa vipeleke wagombea wageni huko kwenye ngome yao, warudi kwenye kazi zao za asili.