atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kwahiyo kabudi ni msukuma?Sukuma Gang ni kabila la Wasukuma hayo mengine ni mbwembwe tu.
Na Sabaya je?
Nonsense [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kabudi ni msukuma?Sukuma Gang ni kabila la Wasukuma hayo mengine ni mbwembwe tu.
Sawa....Asante, pole sana kama umezaliwa msukuma.
ukiongelea makundi usisahau lile la kujipendelea kila kitu kiende kwao, kiufupi magang hayahitajiki nchi hii.Acha uzwazwa wewe hilo kundi la SG ni kundi baya sana kwa usalama wa nchi yetu.
Sawa, nimekusikia.Sawa....
Kiburi si maungwana
Peace 🙏Sawa, nimekusikia.
Hii ina ngufu mara mbili,ule kwenye sauti base?Mpelekee Bikidude yule kiranja wa wale covid 19
Nape na Kinana hawahitaji kura kushinda uchaguzi.Naona unatangaza amani huku umeficha mapanga..nani asiyejua nguvu ya kanda ya ziwa katika chaguzi za nchi hii..yawezekana wewe ni mtoto wa juzi huwezi elewa.
All in all acheni hizo siasa maji taka za utengeno zitawaghalimu sana...absurd.
#MaendeleoHayanaChama
Hao wehu walishasema wana mbinu 1000 za kuiba kura na kubaki madarakani halafu unawatishia vitisho hewa kweli?Nape na Kinana hawahitaji kura kushinda uchaguzi.
Mama mwenyewe wakati wa kampeni aliwahi kusema wanakamilisha ratiba tu kupiga kampeni, lakini wana uhakika wa kushinda by any means.
mtekaji, Muuaji,Naona umetumwa kuja kuchonganisha..tambueni kanda ya ziwa ndio wenye kura ya turufu..mtakuja mnalialia tu kuwaomba wawaunge mkono..kuweni makini sana na hizi siasa ya utengano mnazozianzisha.
Endelea kupumzika kwa amani JPM rais uliyekua na maono makubwa kwa nchi hii.
#MaendeleoHayanaChama
Naona unatangaza amani huku umeficha mapanga..nani asiyejua nguvu ya kanda ya ziwa katika chaguzi za nchi hii..yawezekana wewe ni mtoto wa juzi huwezi elewa.
All in all acheni hizo siasa maji taka za utengeno zitawaghalimu sana...absurd.
#MaendeleoHayanaChamaMwal
Ukweli mchungu ni kwamba kila mmoja atakufa, na pengine wewe unaweza kutangulia, tuombe mwisho mwemaWewe jamaa bana. Sijui hata unaishije na familia yako.
Ila sawa tu, utakuja kufa na kipusa. Unavyochonganisha utazani Samia anatawala milele.
Twende tujadili hojaHili suala la "sukuma gang" naona linakuwa entertained sana. Sahivi hata ukihoji kwanini miradi ya Kimkakati haikamiliki kw awakati unaambiwa wewe ni sukuma gang, na pia ukiachana na chuki kwa watu wa Kanda ya Ziwa mtoa Uzi ebu angalia hoja za Mpina je, ni dhaifu au sio dhaifu, ni logic ama la? Vijana tusipende ushabiki ebu tusimame na Taifa tuachane na hizo mambo. Tuwachukie wanaorudisha Taifa nyuma na sio watu wa kabila fulani au ukanda fulani that is stupidity.