Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma Gang siyo kabila la wasukuma. Sukuma Gang ni wafuasi wa hayati DIKTETA Magufuli ambao ndiyo walikuwa wananeemeka na utawala wa Mwendazake, ndiyo walioshika hatamu za maaamuzi katika sekta nyeti. Watu hao ni kama Bashiru, Makonda, Polepole, Kabudi, Luaga Mpina, Chamuriho, Kalemani, Dotto James etcHiyo Sukuma Gang maana yake ni watanzania wanaozidi 27 million kutoka mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara, Shinyanga, Geita, Kagera, Kigoma, Katavi, Rukwa, Tabora, Songwe, Singida, Mbeya, Morogoro, Dodoma, Pwani, Dar, Lindi.
Unapoanza kulibagua kundi hili kubwa ujue kichwani umejaza ubwabwa na hustahili kuwa sehemu ya jamii ya watu wastaarabu
Sukuma Gang ni kabila la Wasukuma hayo mengine ni mbwembwe tu.Sukuma Gang siyo kabila la wasukuma. Sukuma Gang ni wafuasi wa hayati DIKTETA Magufuli ambao ndiyo walikuwa wananeemeka na utawala wa Mwendazake, ndiyo walioshika hatamu za maaamuzi katika sekta nyeti. Watu hao ni kama Bashiru, Makonda, Polepole, Kabudi, Luaga Mpina, Chamuriho, Kalemani, Dotto James etc
Wasukuma ni watu wema sana hawajawahi kupiga kura za kikabila na wala hawana ukabila.
🤣🤣🤣burudani safi sana.tupate maneno kidogo
View attachment 2184785
Acha kuwaza upumbuvu hao Watanzania 30+million tuliobaki tuna mshikamano musitake kutuvuruga nchi yetu sote hii.Hiyo Sukuma Gang maana yake ni watanzania wanaozidi 27 million kutoka mikoa ya Mwanza, Simiyu, Mara, Shinyanga, Geita, Kagera, Kigoma, Katavi, Rukwa, Tabora, Songwe, Singida, Mbeya, Morogoro, Dodoma, Pwani, Dar, Lindi.
Unapoanza kulibagua kundi hili kubwa ujue kichwani umejaza ubwabwa na hustahili kuwa sehemu ya jamii ya watu wastaarabu
Upumbavu ni kama huu wa kwako. Hiyo kampeni yenu chafu mda si mrefu itaanza kutugharimu hata tusiokuwa na hatia. Hata Rwanda na Burundi walianza hivi hivi kabla ya genocideAcha kuwaza upumbuvu hao Watanzania 30+million tuliobaki tuna mshikamano musitake kutuvuruga nchi yetu sote hii.
Wacheni ukweli usemwe, Sukuma Gang wanamfanyia Samia vitimbi vingi sanaPlease Please Mods futeni huu uzi....
Please[emoji120]
Too much unfounded confidencekwa Serikali hii ya Mama hakuna jiwe litabaki juu ya jiwe lingine
Kwa taarifa yako mfumo wa kishetani aliouasisi magu kura za kwenye box hazina thamani tena mpango mzima uko hiviNaona umetumwa kuja kuchonganisha..tambueni kanda ya ziwa ndio wenye kura ya turufu..mtakuja mnalialia tu kuwaomba wawaunge mkono..kuweni makini sana na hizi siasa ya utengano mnazozianzisha.
Endelea kupumzika kwa amani JPM rais uliyekua na maono makubwa kwa nchi hii.
#MaendeleoHayanaChama
Wauache ili waendelee kujiaibisha. Rais alitoa agizo tozo ya mafuta ipunguzwe. Waziri akapunguza tozo ya mafuta kwa sh. 100. Baadae Watanzania tulimsikia Rais kupitia vyombo vya habari akiagiza tozo irudishwe kwakuwa tayari pesa yake ilikuwa kwenye bajeti. Yaani mtoa post anataka kusema Rais "alijichanganya" mwenyewe. Hapa Mpina ana kosa gani?Please Please Mods futeni huu uzi....
Please🙏
Hakuna cha sukuma gang wala mkwere gang, sisi wananchi tunachojua nyie wote ni CCM. Utofauti wenu mkwere gang mnapiga mno mpaka watu wanashtuka wakati sukuma gang wanapiga kwa target na akili nyingi. Nyie ni kama wachungaji mnaogombania waumini kwa ajili ya sadaka na tumechoka maugomvi yenu, kaeni myamalize, mnazinguana huko mnatuletea kelele.Hapana, wala nchi hii haiungi mkono ukabila ndio maana tunawapinga SG
Badilisha jina ndiyo tukuuelewe, vinginevyo sukuma Gang ni wasukuma na muendelee na propaganda zenu chafu za kibaguzi.Mtavuna mnachokitafutaSukuma Gang siyo kabila la wasukuma. Sukuma Gang ni wafuasi wa hayati DIKTETA Magufuli ambao ndiyo walikuwa wananeemeka na utawala wa Mwendazake, ndiyo walioshika hatamu za maaamuzi katika sekta nyeti. Watu hao ni kama Bashiru, Makonda, Polepole, Kabudi, Luaga Mpina, Chamuriho, Kalemani, Dotto James etc
Wasukuma ni watu wema sana hawajawahi kupiga kura za kikabila na wala hawana ukabila.
Kwa nini lisiitwe "Genge la Makinikia, Mkiru, Push-ups, Burigi ama hata Busisi" kuliko kuliambatanisha na neno "Sukuma"Sukuma Gang siyo kabila la wasukuma. Sukuma Gang ni wafuasi wa hayati DIKTETA Magufuli ambao ndiyo walikuwa wananeemeka na utawala wa Mwendazake, ndiyo walioshika hatamu za maaamuzi katika sekta nyeti. Watu hao ni kama Bashiru, Makonda, Polepole, Kabudi, Luaga Mpina, Chamuriho, Kalemani, Dotto James etc
Wasukuma ni watu wema sana hawajawahi kupiga kura za kikabila na wala hawana ukabila.
tupate maneno kidogo
View attachment 2184785
Unajua maana ya kura ya turufu wewe?Naona umetumwa kuja kuchonganisha..tambueni kanda ya ziwa ndio wenye kura ya turufu..mtakuja mnalialia tu kuwaomba wawaunge mkono..kuweni makini sana na hizi siasa ya utengano mnazozianzisha.
Endelea kupumzika kwa amani JPM rais uliyekua na maono makubwa kwa nchi hii.
#MaendeleoHayanaChama
Tulia unyooshwePlease Please Mods futeni huu uzi....
Please🙏