Makonda, Mpina ni chambo tu, sukuma gang inakuja taratibu

Anachokifanya Mpina kinaleta nini?
#AgainstUchochezi
#AgainstUzandiki
#AgainstUtengano
Twende taratibu......


Kwanini asijibiwe kwa hoja za KIUCHAMBUZI dhidi ya alichokisema zaidi ya kuingiza CONSPIRACY THEORIES?!!!

Kwa hiyo huyo Mpina asichangie tena bungeni mpaka mwaka 2025 kwa hoja tu ya kuogopa kila atakalochangia litachukuliwa kuwa ni la hao waitwao "SG"?!!!!

Hebu kuweni na MIZANI juu ya kusigana huko kusiko na afya kwa taifa.........

#Against Racism
#Against Bigotry
#Against Tribalism
#Against All Forms Of Hatred
#Do Not Do Harm

#SIEMPRE JMT🙏
 
Wewe jamaa bana. Sijui hata unaishije na familia yako.

Ila sawa tu, utakuja kufa na kipusa. Unavyochonganisha utazani Samia anatawala milele.
 
Hao toilet pepa acha watumike 2025 wataanza kubembeleza kura za hao wanaowatukana sasa.

#MaendeleoHayanaChama
Umejawa na ujinga mwingi sana

Ninyi ndio baba wa taifa hayati NYERERE anaendelea kuwapinga hadi leo katika vitabu vyake vinavyoishi......

ACHA UMIMI
ACHA UBAGUZI
 
Ila muelewe kwamba yoote mnayoyafanya kwa sasa.

Watanzania wanawaona na kuwapima.

Endeleeni na furaha yenu inayotokana na mliyempoteza.

It's a matter of time
 
Acha uongo, savi kila mtanzania ni mwelewa.
 
Hilo jina silipendi sana..kwanini msitumia magufuli gang..kuliko kuliingiza kabila zima kwenye huo upumbafu..lengo lenu nini hasa.?

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu, ni kweli kabisa. Matumizi ya haya maneno "Sukuma Gang" yanaamsha hisia mbaya kwa watu wengi wa kanda ya ziwa, na hasa kwa kabila la Wasukuma. Ni vyema watu tufanye hima kuepuka matumizi yake, kwa kuwa yana kila dalili za ubaguzi ndani yake na kutaka kuwafanya watu waonekane kuwa duni.

Kama lipo kundi lenye mapenzi na "connection" na enzi ya mwendazake, basi na litambulike kivingine. Lakini si kwa jina hili lenye kuhusisha kabila zuri la Kisukuma.
 
Acha kuropoka, tafuta facts kabla ya kuanza kubwabwaja.

Uzalishaji wa samaki uliongezeka kwa kiwango kikubwa sana baada ya kudhibiti uvuvi haramu, sisi wananchi wa Ziwa Victoria tunujua ukweli
 
Umepaniki wewe..ila ni kutaarifu tu siasa za utengeno mnazozifanya hazitawasaidia kitu..zitawangamiza mana kundi mnalolishambulia nikubwa sana na linaelewa nini kinachoendelea...swindlers wakubwa ninyi.

#MaendeleoHayanaChama

Ni watu wachache wanaelewa juu ya hao wasaka madaraka wenye chuki. Waliishi kwa kutengeneza sumu.
Msukuma King mbona hatajwi kwenye haya matakataka yenu.
 

Mpambavu anajibiwa kiwango sawa na upumbavu wake...!
 
Acha kuropoka, tafuta facts kabla ya kuanza kubwabwaja.

Uzalishaji wa samaki uliongezeka kwa kiwango kikubwa sana baada ya kudhibiti uvuvi haramu, sisi wananchi wa Ziwa Victoria tunujua ukweli

Hizo data za mkaango ndiyo unaleta hapa. Mpeleke mpina Geita vijijini kama hajarudi mlemavu.
 
Kweli kabisa, hii kampeni chafu inayoratibiwa na wachaga itatuvuruga sana kama hekima haitatumika.

Kama JPM aliwaumiza wasiwaingize Wasukuma wote, unatuingiza hata ambao hatukuwa na elements za ukabila tuanze kuwa wakabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…