MAKONDA MSHTAKIWA RASMI SASA BAADA YA KUTOKA KWENYE MFUMO

Mbona kama Una support hoja ya Makonda? Unazidi kusagia kunguni muhimili wetu wa mahakama.

Ila Makonda anaongea ambacho majority ya wa Tanzania wangependa kukisikia, no wonder huku mtaani huwaambii kitu
Mbona kama Una support hoja ya Makonda? Unazidi kusagia kunguni muhimili wetu wa mahakama.

Ila Makonda anaongea ambacho majority ya wa Tanzania wangependa kukisikia, no wonder huku mtaani huwaambii kitu kuhusu Makonda.
Mtaa gani, watanzania wakubadilishwa upepo dakika mbili wameambiwa jana, leo wamesahau,makonda anataja matatizo ambayo yapo ndani ,na hajaleta ufumbuzi
 
Hajakosea, kuna viongozi wakubwa wakishindwa kesi kwenye hizi mahakama zetu, huchana hizo hukumu mbele ya majaji au mahakimu na hakuna wanachofanywa...

Cc: Mahondaw
 
Lazima uwe na staha, uwe na kiasi

Huyo makonda anaropoka bila mipaka

Mwisho atakuja kumtukana hadi Samia mwenyewe!
Ni kawaida yenu mtu akisema ukweli panapstahili ukweli mnasema katukana
 
Kama mahakama zilimfutia mashtaka akiwa na makosa zilitenda haki?? Ameongea ukweli mtupu!
 
amesahau huo muhimili wa mahakama ambao hautendi haki ndiyo muhimili ambao ulimlinda yeye👆

Siyo kazi ya mahakama kukusanya ushahidi na kujenga kesi dhidi ya raia.

Hiyo ni kazi ya serikali kupitia DPP. Kwa asilimia 99% ni wajibu wa DPP.

Kwa hiyo usiitaje sana mahakama hapa.

Hata kutunga sheria, kazi kubwa hufanywa na serikali na siyo Bunge.

Inasikitisha sana mwandishi unajiita "Mbunge wa Lulindi 2025" lakini hufahamu vyema mgawanyo wa madaraka kati ya Mahakama na Serikali.
 
Pumbafu kabisa. Nyie ndio wale fisadi mnaona kina makonda na sabaya wana makosa kwa kuwazuia kufisidi jamii. Kesi ya sabaya haikutosha bali mnaendelea kumwuita sabaya muuaji kwa kuwazuia kula vya kunyonga. Mnaendelea kujidai mahakama imekosea kumuona Sabaya hana makosa na kumwachia huru. Wala hamjuti kwa kumtesa maana mlichanga hela kuhonga ili afungwe kwa kesi ya uongo. Wanaharamu nyie kwa mioyo yenu mibaya. Mtapata laana ya mungu.
Acha kumdanganya huyo Zerobrain !! Kwanza hana akili za kutawala pili huyu Bashite ni mfungwa mtarajiwa tu. Upende usipende, baada ya Samia kutoka madarakani Makonda atapandishwa mahakamani kwa makosa yenye ushahidi ambao haufutiki
 
Kama mahakama zilimfutia mashtaka akiwa na makosa zilitenda haki?? Ameongea ukweli mtupu!
Lakini leo tutalumbana,lakini huwa tunasema au wahenga walisema lenye mwanzo alikosi mwisho, haya ni matokeo ambayo au mbegu zilipandwa na CCM,kwa kushindwa kufuata katiba, sheria za nchi na kushindwa kuheshimu mihimili muhimu, pia ata vyombo vya Dora.
Walikuwa wanatukanwa polisi hadharani leo wameamia kwenye mahakama.
Na taasisi zote hizo zinasimamia haki, lakini kwakua walikuwa hawajitambui na walipelekwa kama ng'ombe leo hacha wavune waliyopanda
 
Makonda ulinusurika kufanywa kama Sabaya, wazee wa korido au viambaza walikulinda kwa maelekezo ya Hangaya.
Wajuzi wa mambo wakaenda mbali zaidi wakasema Hangaya alikupenda japo ulitoka familia ya jiwe,wengine wakasema Makonda hujawahi mchafua Hangaya akiwa makamu wa ofisi za Magigoni.
Binafsi nikaunga mkono hoja, nikafuatilia mashtaka ya Sabaya nikajua kabisa Sabaya hakuwa na radhi za Chief.
Lakini leo P.Makonda kautukana muhimili wa mahakama waziwazi, kuwa hautendi haki,pia kaenda mbali zaidi kawaambia wafanya biashara wadogo wanaenda mahakamani kufanya nini wakati mahakama hazitendi haki.
P.Makonda amesahau huo muhimili wa mahakama ambao hautendi haki ndiyo muhimili ambao ulimlinda yeye kwa maovu ambayo aliyafanya.
P.Makonda anataka kuwaambia watanzania kuwa mahakama ilitenda haki kutupilia mbali mashtaka yake?
P.Makonda kama kiongozi wa juu wa chama au kiongozi muandamizi ndani ya chama anawaambia kuwa watanzania mahakama zetu hazitendi haki.
Leo viambaza vya mahakama zote wanasema leo makonda katutusi,Makonda kaongea ukweli.
Jaji mkuu Feleshi yupo katika tafakuri na kasema P.Makonda huyu huyu au mwingine?
Hivyo basi P.Makonda aombe akae ndani ya mfumo mpaka Chief atoke madarakani ,au raisi ajae awe kariba yake la sivyo atasota butimba kwao au Segerea.
Matokeo ya P.Makonda kuzungumza au kuitukana mahakama ajiandae kujibu kesi zote ambazo zilipanguliwa na mahakama hii ambayo amesema haitendi haki.
Mahakama hii itamuonesha namna gani, inatenda haki.
P.Makonda umetukana watesi, tena watesi wengi njia ya gerezani ni nyeupe kwako, na umeiomba mwenyewe P.Makonda huu uzi utaweka kumbukumbu.
Chama chetu CCM hatuna utamaduni wa kuvumilia wakosoaji ndani ya chama Makonda siasa haina rafiki wa kudumu wa adui wa kufumu.
Ni mimi MWENYE MATULANYA MPUTA
MBUNGE JIMBO LA LULINDI 2025
Email: maggierozaria@gmail.com
Kwani ni uongo ni rushwa tupu
 
POLICE CCM+MAHAKAMA CCM=P.MAKONDA ambaye leo ni au kesho anaenda kushtakiwa na aliowatukana.
Leo hatupaswi kumlaumu makonda,ila watu au kundi ambalo linapaswa kulaumiwa ni vyombo vya dora, na mihimili yote kiujumla .

Kwakuwa mihimili hiyo na vyombo hivyo vilishindwa kusimamia haki,kushindwa kusimamia taaluma zao bali zilikubali kutumika na watu wachache kwa maslahi yao, si kwa maslahi ya chama chetu pendwa,na maslahi ya Tanzania kwa ujumla.

Leo P.MAKONDA asilaumiwe bali wakulaumiwa wale ambao wameshindwa kusimamia taaluma zao.
 
Attachments

  • IMG-20240211-WA0003.jpg
    IMG-20240211-WA0003.jpg
    212.7 KB · Views: 4
Makonda ulinusurika kufanywa kama Sabaya, wazee wa korido au viambaza walikulinda kwa maelekezo ya Hangaya.
Wajuzi wa mambo wakaenda mbali zaidi wakasema Hangaya alikupenda japo ulitoka familia ya jiwe,wengine wakasema Makonda hujawahi mchafua Hangaya akiwa makamu wa ofisi za Magigoni.
Binafsi nikaunga mkono hoja, nikafuatilia mashtaka ya Sabaya nikajua kabisa Sabaya hakuwa na radhi za Chief.
Lakini leo P.Makonda kautukana muhimili wa mahakama waziwazi, kuwa hautendi haki,pia kaenda mbali zaidi kawaambia wafanya biashara wadogo wanaenda mahakamani kufanya nini wakati mahakama hazitendi haki.
P.Makonda amesahau huo muhimili wa mahakama ambao hautendi haki ndiyo muhimili ambao ulimlinda yeye kwa maovu ambayo aliyafanya.
P.Makonda anataka kuwaambia watanzania kuwa mahakama ilitenda haki kutupilia mbali mashtaka yake?
P.Makonda kama kiongozi wa juu wa chama au kiongozi muandamizi ndani ya chama anawaambia kuwa watanzania mahakama zetu hazitendi haki.
Leo viambaza vya mahakama zote wanasema leo makonda katutusi,Makonda kaongea ukweli.
Jaji mkuu Feleshi yupo katika tafakuri na kasema P.Makonda huyu huyu au mwingine?
Hivyo basi P.Makonda aombe akae ndani ya mfumo mpaka Chief atoke madarakani ,au raisi ajae awe kariba yake la sivyo atasota butimba kwao au Segerea.
Matokeo ya P.Makonda kuzungumza au kuitukana mahakama ajiandae kujibu kesi zote ambazo zilipanguliwa na mahakama hii ambayo amesema haitendi haki.
Mahakama hii itamuonesha namna gani, inatenda haki.
P.Makonda umetukana watesi, tena watesi wengi njia ya gerezani ni nyeupe kwako, na umeiomba mwenyewe P.Makonda huu uzi utaweka kumbukumbu.
Chama chetu CCM hatuna utamaduni wa kuvumilia wakosoaji ndani ya chama Makonda siasa haina rafiki wa kudumu wa adui wa kufumu.
Ni mimi MWENYE MATULANYA MPUTA
MBUNGE JIMBO LA LULINDI 2025
Email: maggierozaria@gmail.com
What a fool!
 
wenyewe kwa wenyewe sasa....kyee kyee kyee kyeee....
 
Back
Top Bottom