MAKONDA MSHTAKIWA RASMI SASA BAADA YA KUTOKA KWENYE MFUMO

amesahau huo muhimili wa mahakama ambao hautendi haki ndiyo muhimili ambao ulimlinda yeye👆

Siyo kazi ya mahakama kukusanya ushahidi na kujenga kesi dhidi ya raia.

Hiyo ni kazi ya serikali kupitia DPP. Kwa asilimia 99% ni wajibu wa DPP.

Kwa hiyo usiitaje sana mahakama hapa.

Hata kutunga sheria, kazi kubwa hufanywa na serikali na siyo Bunge.

Inasikitisha sana mwandishi unajiita "Mbunge wa Lulindi 2025" lakini hufahamu vyema mgawanyo wa madaraka kati ya Mahakama na Serikali.
Umenikumbusha Kesi ya Kubenea
 
Makonda ulinusurika kufanywa kama Sabaya, wazee wa korido au viambaza walikulinda kwa maelekezo ya Hangaya.
Wajuzi wa mambo wakaenda mbali zaidi wakasema Hangaya alikupenda japo ulitoka familia ya jiwe,wengine wakasema Makonda hujawahi mchafua Hangaya akiwa makamu wa ofisi za Magigoni.
Binafsi nikaunga mkono hoja, nikafuatilia mashtaka ya Sabaya nikajua kabisa Sabaya hakuwa na radhi za Chief.
Lakini leo P.Makonda kautukana muhimili wa mahakama waziwazi, kuwa hautendi haki,pia kaenda mbali zaidi kawaambia wafanya biashara wadogo wanaenda mahakamani kufanya nini wakati mahakama hazitendi haki.
P.Makonda amesahau huo muhimili wa mahakama ambao hautendi haki ndiyo muhimili ambao ulimlinda yeye kwa maovu ambayo aliyafanya.
P.Makonda anataka kuwaambia watanzania kuwa mahakama ilitenda haki kutupilia mbali mashtaka yake?
P.Makonda kama kiongozi wa juu wa chama au kiongozi muandamizi ndani ya chama anawaambia kuwa watanzania mahakama zetu hazitendi haki.
Leo viambaza vya mahakama zote wanasema leo makonda katutusi,Makonda kaongea ukweli.
Jaji mkuu Feleshi yupo katika tafakuri na kasema P.Makonda huyu huyu au mwingine?
Hivyo basi P.Makonda aombe akae ndani ya mfumo mpaka Chief atoke madarakani ,au raisi ajae awe kariba yake la sivyo atasota butimba kwao au Segerea.
Matokeo ya P.Makonda kuzungumza au kuitukana mahakama ajiandae kujibu kesi zote ambazo zilipanguliwa na mahakama hii ambayo amesema haitendi haki.
Mahakama hii itamuonesha namna gani, inatenda haki.
P.Makonda umetukana watesi, tena watesi wengi njia ya gerezani ni nyeupe kwako, na umeiomba mwenyewe P.Makonda huu uzi utaweka kumbukumbu.
Chama chetu CCM hatuna utamaduni wa kuvumilia wakosoaji ndani ya chama Makonda siasa haina rafiki wa kudumu wa adui wa kufumu.
Ni mimi MWENYE MATULANYA MPUTA
MBUNGE JIMBO LA LULINDI 2025
Email: maggierozaria@gmail.com
Ina maana mahakama zitadhihirisha hazitendi haki kwa kufungua kesi upya kama walizifuta
 
P.Makonda anataka kuwaambia watanzania kuwa mahakama ilitenda haki kutupilia mbali mashtaka yake?
P.Makonda kama kiongozi wa juu wa chama au kiongozi muandamizi ndani ya chama anawaambia kuwa watanzania mahakama zetu hazitendi haki.
Hapa ndio pa kuanzia kwa ajili ya kuwasilisha zile tuhuma zake!
 
Maneno mazito sana !
 
Back
Top Bottom