MAKONDA MSHTAKIWA RASMI SASA BAADA YA KUTOKA KWENYE MFUMO

 
Sasa kosa la makonda ni lipi wakati kasema ukweli?
 
Hajakosea, kuna viongozi wakubwa wakishindwa kesi kwenye hizi mahakama zetu, huchana hizo hukumu mbele ya majaji au mahakimu na hakuna wanachofanywa...


Cc: Mahondaw
 
Lazima uwe na staha, uwe na kiasi

Huyo makonda anaropoka bila mipaka

Mwisho atakuja kumtukana hadi Samia mwenyewe!
Ni kawaida yenu mtu akisema ukweli panapstahili ukweli mnasema katukana
 
Kama mahakama zilimfutia mashtaka akiwa na makosa zilitenda haki?? Ameongea ukweli mtupu!
 
amesahau huo muhimili wa mahakama ambao hautendi haki ndiyo muhimili ambao ulimlinda yeye👆

Siyo kazi ya mahakama kukusanya ushahidi na kujenga kesi dhidi ya raia.

Hiyo ni kazi ya serikali kupitia DPP. Kwa asilimia 99% ni wajibu wa DPP.

Kwa hiyo usiitaje sana mahakama hapa.

Hata kutunga sheria, kazi kubwa hufanywa na serikali na siyo Bunge.

Inasikitisha sana mwandishi unajiita "Mbunge wa Lulindi 2025" lakini hufahamu vyema mgawanyo wa madaraka kati ya Mahakama na Serikali.
 
Acha kumdanganya huyo Zerobrain !! Kwanza hana akili za kutawala pili huyu Bashite ni mfungwa mtarajiwa tu. Upende usipende, baada ya Samia kutoka madarakani Makonda atapandishwa mahakamani kwa makosa yenye ushahidi ambao haufutiki
 
Kama mahakama zilimfutia mashtaka akiwa na makosa zilitenda haki?? Ameongea ukweli mtupu!
Lakini leo tutalumbana,lakini huwa tunasema au wahenga walisema lenye mwanzo alikosi mwisho, haya ni matokeo ambayo au mbegu zilipandwa na CCM,kwa kushindwa kufuata katiba, sheria za nchi na kushindwa kuheshimu mihimili muhimu, pia ata vyombo vya Dora.
Walikuwa wanatukanwa polisi hadharani leo wameamia kwenye mahakama.
Na taasisi zote hizo zinasimamia haki, lakini kwakua walikuwa hawajitambui na walipelekwa kama ng'ombe leo hacha wavune waliyopanda
 
Kwani ni uongo ni rushwa tupu
 
POLICE CCM+MAHAKAMA CCM=P.MAKONDA ambaye leo ni au kesho anaenda kushtakiwa na aliowatukana.
Leo hatupaswi kumlaumu makonda,ila watu au kundi ambalo linapaswa kulaumiwa ni vyombo vya dora, na mihimili yote kiujumla .

Kwakuwa mihimili hiyo na vyombo hivyo vilishindwa kusimamia haki,kushindwa kusimamia taaluma zao bali zilikubali kutumika na watu wachache kwa maslahi yao, si kwa maslahi ya chama chetu pendwa,na maslahi ya Tanzania kwa ujumla.

Leo P.MAKONDA asilaumiwe bali wakulaumiwa wale ambao wameshindwa kusimamia taaluma zao.
 

Attachments

  • IMG-20240211-WA0003.jpg
    212.7 KB · Views: 4
What a fool!
 
wenyewe kwa wenyewe sasa....kyee kyee kyee kyeee....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…