MAKONDA MSHTAKIWA RASMI SASA BAADA YA KUTOKA KWENYE MFUMO

Umenikumbusha Kesi ya Kubenea
 
Ina maana mahakama zitadhihirisha hazitendi haki kwa kufungua kesi upya kama walizifuta
 
P.Makonda anataka kuwaambia watanzania kuwa mahakama ilitenda haki kutupilia mbali mashtaka yake?
P.Makonda kama kiongozi wa juu wa chama au kiongozi muandamizi ndani ya chama anawaambia kuwa watanzania mahakama zetu hazitendi haki.
Hapa ndio pa kuanzia kwa ajili ya kuwasilisha zile tuhuma zake!
 
Maneno mazito sana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…