Ana hekaheka huyo jamaa mpaka namuonea huruma mkewe ,sidhani kama uwa analala kabisa kwamba kichwa chake kimepumzika kuwaza ujinga hata mara mojaIla Bashite
Unapendekeza hii ligi ichezwe kipindi gani na isimamiwe na kugharamiwa na nani mkuu?Hilo ni wazo zuri, ila michuano itakosa msisimko kama ile ligi ya taifa sababu ua ubora mbovu wa wachezaji wetu, tutaona mpira MCHAFUKOGE.
Hii ligi isihusishe wachezaji wa ligi kuu wala ligi daraja la kwanza na la pili.
Kikubwa Wawekeze kwenye academy, tupate product bora, wachezaji wetu wengi wazawa uwezo wao ni wa kawaida mnooo..
Shida ni ukiritimba, vipajo vya maana wakati mwingine vinaachwa, wanachukuana kwa kujuana ama rushwa.
Hata Mimi nimekuja kucoment hili, kombe la Taifa lilikuwa na msisimko Sana.Arudishe kombe la Taifa ndio yalikuwa mashindano pekee yaliyoshirikisha wazawa
Ikishakuwa ligi maana yake ni msimu mzima iende. Mwezi wa ianzie mwezibwa 4 mwishoni ama wa 5 hivi, mwishoni mwa npl ikiwa imeisha na inapigwa mpaka mwezi wa 10 hivi, ni mwendo wa bandika bandua,Unapendekeza hii ligi ichezwe kipindi gani na isimamiwe na kugharamiwa na nani mkuu?