ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Wazawa hawawezi kuimarika Kwa kuwaondelea ushindani kutoka Kwa foreignersMkuu inaonekana bado hujajua dhima ya ligi ya wazawa. Dhima ya kwanza ni kuwapa nafasi wachezaji wazawa kucheza mpira. Hayo mengine yatafuata.
Feisali, Kapombe, Mudathir, Job, Bacca, Kagoma, Bado, Seleli,
Wamecheza mbele ya wageni wengi
England Kuna wachezaji wa kigeni wanatwanga pale ila haiwanyimi nafasi waingereza akina Saka, Palma, Maino, Belngham, n. K kuwa Bora
Hii Dunia Iko wazi inatakiwa wachezaji wetu wapambane wakacheze nje wanakotoka wageni
Samata anatwanga Le Havre pale France
Msuva, dismas, wanacheza nje vizuri tu
Kwaiyo Bashite ni lofa mmoja ropo ropo asiye na akili