Wazawa hawawezi kuimarika Kwa kuwaondelea ushindani kutoka Kwa foreignersMkuu inaonekana bado hujajua dhima ya ligi ya wazawa. Dhima ya kwanza ni kuwapa nafasi wachezaji wazawa kucheza mpira. Hayo mengine yatafuata.
Mkuu, kwahiyo hiyo ligi itaenda sanjari na hii iliyopo au itakuwa na mwendo wa kitofauti?Mkuu inaonekana bado hujajua dhima ya ligi ya wazawa. Dhima ya kwanza ni kuwapa nafasi wachezaji wazawa kucheza mpira. Hayo mengine yatafuata.
FIFA haiwezi kuzuiaHuu ni ubaguzi wa wazi Fifa isiruhusu huu ujinga wa huyu mbumbumbu.
Kuna mtu anabisha kuwa huyu jamaa ana F Kwenye cheti
Umenena vema mkuuTypical stupidity.
Anataka watu wakae kutazama ligi mbili huo muda wa kutazama mpira tu watu wanapata wapi,
Badala tutumie muda kuzalisha, tunautumia kwa mambo ya kijinga.
Hii iliyopo yenyewe Imeshatupumbaza hivi halafu uongeze nyingine?
MmmhWachezaji wa nje wasononeke kwani hii ligi inawahusu? Wakaanzishe michuano yao huko nchini kwao, wasituchoshe.
Serikali itapanga muda kila kitu kitakwenda sawa mkuu; usiogope.Typical stupidity.
Anataka watu wakae kutazama ligi mbili huo muda wa kutazama mpira tu watu wanapata wapi,
Badala tutumie muda kuzalisha, tunautumia kwa mambo ya kijinga.
Hii iliyopo yenyewe Imeshatupumbaza hivi halafu uongeze nyingine?
Itakuwa kama ilivyokuwa CHAN mkuu. Usiogope, kila kitu kitaenda sawa.Wazawa hawawezi kuimarika Kwa kuwaondelea ushindani kutoka Kwa foreigners
Feisali, Kapombe, Mudathir, Job, Bacca, Kagoma, Bado, Seleli,
Wamecheza mbele ya wageni wengi
England Kuna wachezaji wa kigeni wanatwanga pale ila haiwanyimi nafasi waingereza akina Saka, Palma, Maino, Belngham, n. K kuwa Bora
Hii Dunia Iko wazi inatakiwa wachezaji wetu wapambane wakacheze nje wanakotoka wageni
Samata anatwanga Le Havre pale France
Msuva, dismas, wanacheza nje vizuri tu
Kwaiyo Bashite ni lofa mmoja ropo ropo asiye na akili
hakitatokea kitu kama hicho. Hao ni binadamu sio maroboti, mashindano mengi muda mchache,hao hao wachezaji wanahtajika wacheze NBC PL, CAFCL,CAFCC, CRDB FA CUP,MUUNGANO,MAPINDUZI, FIFA SERIES,KUFUZU CHAN,KUFUZU AFCON alafu tena eti wawe na ligi ya wachezaji wa ndani tena? Hii napinga kwa nguvu zote.Ni hao hao wa ligi kuu mkuu. Watafanya kama vile ilipokuwa CHAN.
Bashite ni mwehuFifa haiuhusiki na ligi za ndani za wazawa mkuu.