Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 1,434
- 1,930
Kuwekeza kwenye mpira ni jambo zuri mkuu. Mpira unasaidia kuwaleta watu pamoja na kuwafanya wawe watiifu kwa serikali. Naipongeza sana serikali kuwekeza kwenye mpira, hasa kwa timu za Simba na Yanga.haha unaacha kuwekeza kwenye mizizi unawawazia vijeba anyway unajua hawa jamaa wameona wasanii, wanasiasa, wachekeshaji, redio tv nk mmewachomolea betri kilichobaki ni mpira
Ndiyo sababu kawekwa hapo kimkakati oneni hii miaka 4 mpira unakavyotumika kama spinning tool yangu macho tu
Yanga chama langu nasikitika kukuacha ila sina budi
Malyangiri=Great thinkerGwajima alituhakikishia kwamba huyu bwana Anaitwa Albert Malyangiri Bashite,
Kwa kisukuma Malyangiri maana yake ni mla nguruwe pori alisema Gwajima.
Sasa tatizo la Malyangiri analazimisha sana ubunifu hata pasipo wezekana ili mradi wiki isiishe bila yeye kusikika.
Tunataka tutengeneze wachezaji wetu wenyewe mkuu. Kwani hatuwezi kutengeneza wachezaji wetu bila kuiga kutoka nje?uyo ajui mpira kama wewe ingekua inamata lig ya uingereza spain italy germany wangefanya ivo lig ya uingereza imejza wagen kbao na team ya taif inafany vzur ya spain inawagen kbao ugerman pia na tim zao za nation znafnya vzur b4 wagen wazaw uwa hamna ktu ilawanapokuj ma pro wakigen ht wazaw uadopt mamb mazur na uchezaj kaa wagen inasaidia wazaw kuimalika
Watakubali ni kuongea nao kwa utulivuJe, wadhamini watakubali hayo masharti mkuu? Tunataka ligi ya wazawa tupu.
Kinachokupa nafasi ya kucheza ni Utaifa wako au kiwango chako?Wapo lakini hawapati nafasi za kucheza kwa sababu ya mrundikano wa wachezaji wa kigeni. Ndio maana bwana Makonda kaanzisha ligi ya wazawa ili wote wapate nafasi ya kucheza.
Tumeona wachezaji wa nje wanaziba nafasi za wazawa; sasa tunataka kuanzisha ligi ya wazawa tupu ili wapate nafasi za kucheza mkuu.Kinachokupa nafasi ya kucheza ni Utaifa wako au kiwango chako?
Mbona Bacca, Job, Kapombe, Kagoma wanacheza?