Makonda na Musiba, Magufuli hayupo. Je, mmejiandaa kisaikolojia?

Magonda bado ana opportunity sababu Samia ni mshikaji wake sana.
Watu walimlaani Magu kwa ushikaji wake leo hii Mama Samia ajaribu huo ujinga ndio mtashuhudia huyu Mama akayaaga mashindano mapema.
Aachane na ushikaji na MATAGA tena kama ana akili timamu atupilie mbali hata wale wahamiaji haramu walioenda CCM kukwapua vyeo.
 
Namshauri Mama Samia ( VP ) azuie upesi Passports zao kwani najua watapanga tu Kukimbia nchi na wote walikuwa wanamchonganisha Yeye na Hayati kwa Viherehere vyao na kutafuta Sifa. Pia walikuwa wakimdharau sana VP Mama Samia. TISS iwadhibiti upesi hawa akina Makonda na Musiba tafadhali.
 
Maustadh na Maustadhat hawanaga maisha ya visasi maana wanajua kwa yakini kwamba dunia ni mapito tu. Chini ya SSH, watainjoy nchi yao sawia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…