Makonda na Musiba, Magufuli hayupo. Je, mmejiandaa kisaikolojia?

Kwa msiba huu anaemtukana makufuli ujue kapungukiwa na akili
 
Hakuna cha mchumi mbobezi. Atafutwe mtu mzalendo hata kama ni mwalimu wa sekondari. Haya mambo ya kutuletea watu wenye kiburi tu kwa vile ni wasomi hatutaki. Wapo wasomi wengi nchi hii hawana uchungu na nchi zaidi ya kutaka waabudiwe kwa usomi wao.
 
Hao wote utaishia kuwamezea mate tu. Wako kwenye mfumo tayari.
 
Nawaonea huruma hawa wafuatao
1. Covid-19
2. CCM wakuja- eg Polepole, Bashiru, Kabudi, Kitila, Ndalichako, Silinde, Waitara, etc

Maana wanaccm wenye chama chao hawatarudia kosa. Ngoja azikwe Magu kwanza.
Ni suala la muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…