Makonda na Musiba, Magufuli hayupo. Je, mmejiandaa kisaikolojia?

Mizengo??? Nooooo...

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nawaonea huruma hawa wafuatao
1. Covid-19
2. CCM wakuja- eg Polepole, Bashiru, Kabudi, Kitila, Ndalichako, Silinde, Waitara, etc

Maana wanaccm wenye chama chao hawatarudia kosa. Ngoja azikwe Magu kwanza.
Covid 19 watakosa bara na Pwani [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Magufuli hakiwahi kuwa mkweli bali ni muongo na mnafiki.
Misingi yote ya ukweli na uwazi aliiua

1. Kujitoa open gorvernment partnership
2. Kujitoa mahakaama ya haki za binadam za Afrika

3. Kuzima bunge live

4. Kuanzisha sheria kandamizi
A. Media service Act
B. Cyber crime Act
C. Electronic and postal communication Act
D. Statistics act
E. Political parties Act
5. Bajeti zisizopitishwa na Bunge.

Tabia zote hizi zililenga kuficha mautopolo yake.
 
Kwa taarifa fupi tuu soon Makonda atalamba teuzi

Utaniambia na nitarudi hapa kukumbusha.

...Samia anampenda sana, kwenye bunge la katiba aliwahi kusema yeye ndiye aliyempendekeza awe VP wa kwanza mwanamke Tz.

Mwisho katufute clip ya Makonda akimpendekeza Samia Bungeni.
 
Ajab kabisa.Yan unataka kusema makonda ndio alikua nyuma ya cc ya ccm ilomfanya samia kuwa mgombea mwenza na hatimae makam wa rais???
Hiz bange zinawasaidia nini?
Kaa kwa kutulia..huu mchezo hauhitaji hasira

Narudia tena na tena.. kwa taarifa fupi tuu soon Makonda atalamba teuzi

Utaniambia na nitarudi hapa kukumbusha.

...Samia anampenda sana, kwenye bunge la katiba aliwahi kusema yeye ndiye aliyempendekeza awe VP wa kwanza mwanamke Tz.

Mwisho katufute clip ya Makonda akimpendekeza Samia Bungeni.
 
Hiyo ni zilipendwa...
 
Kuna watu niliwaambia hawaamini
Wakati ni ukuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…