Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Kha!kha!,Ila Wabongo noma sana.Watu wanapita nae hivi muda si mrefu
Kwani lazima mtumishi wa umma kuwa mwanachama wa siasa?tofautisheni chama dola na chama cha kawaida
huyu anazunguka kukagua aliyoyaahid kama yametelekezwa na selikali kupitia watumishi wake
ni haki yake
Huu sasa ni wivu!, mtu yoyote anaweza kuomba kusafishiwa njia, sio lazima wale wa ving'ora tuu!. Cha muhimu ni kutoa tuu taarifa!. Hata Mondi na Harmo wakitimba Kariakoo, wanasafishiwa njia itakuwa Konda Boy!.Habari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
Wewe unaona kimaadili au kwa taratibu za utumishi wa umma ni sawa Kwa kada wa chama flani kuandamana na watumishi wa umma muda wa kazi hata kuwaamrisha kwenye mikutano yake?Huu sasa ni wivu!, mtu yoyote anaweza kuomba kusafishiwa njia, sio lazima wale wa ving'ora tuu!. Cha muhimu ni kutoa tuu taarifa!. Hata Mondi na Harmo wakitimba Kariakoo, wanasafishiwa njia itakuwa Konda Boy!.
P
Huyo ndie Mkaguzi wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM. Hivyo ni sawa kabisa nami nilimpongeza na kumshauri Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!Wewe unaona kimaadili au kwa taratibu za utumishi wa umma ni sawa Kwa kada wa chama flani kuandamana na watumishi wa umma muda wa kazi hata kuwaamrisha kwenye mikutano yake?
Hata maandamano ya Chadema yalisindokizwa na Polisi wakati Wao sio watumishi wa serikaliNi sehemu ya kazi ya usalama barabarani kama kuna msafara wenye magari mengi ni wajibu wao kuongoza njia ili iwe rahisi kwa wengine kutumia Barabara.
Hii iko wazi inatokeaga hata kwenye maharusi/sherehe kubwa zenye wingi wa magari.
Chadema Wana wivu wa kijinga sanaHuu sasa ni wivu!, mtu yoyote anaweza kuomba kusafishiwa njia, sio lazima wale wa ving'ora tuu!. Cha muhimu ni kutoa tuu taarifa!. Hata Mondi na Harmo wakitimba Kariakoo, wanasafishiwa njia itakuwa Konda Boy!.
P
Kwani Mtumishi wa umma anawajibika majukumu yake kwa mujibu wa sheria ? Au kwa mujibu wa ilani ya chama?Huyo ndie Mkaguzi wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM. Hivyo ni sawa kabisa nami nilimpongeza na kumshauri Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
P
Kuna mengi Konda Boy anakosea, mtumishi wa umma hawajibiki kwa Konda Boy, ila Konda Boy amejielevete as if yeye ndiye... Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!Kwani Mtumishi wa umma anawajibika majukumu yake kwa mujibu wa sheria ? Au kwa mujibu wa ilani ya chama?
Sasa kama unatambua hilo kwanini unapongeza ubakwaji wa sheria hata kama anayoyafanya yanavutia watazamaji?Kuna mengi Konda Boy anakosea, mtumishi wa umma hawajibiki kwa Konda Boy, ila Konda Boy amejielevete as if yeye ndiye... Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
P
Unakumbuka hata akiwa RC alifanya yale yale ambayo machoni yalionekana kama hayana shida lakini kikanuni za utumishi alikuwa anakosea!Kuna mengi Konda Boy anakosea, mtumishi wa umma hawajibiki kwa Konda Boy, ila Konda Boy amejielevete as if yeye ndiye... Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!
P
Watuoneshe barua ya kuomba jeshi la polisi liwasafishie njia, watuoneshe malipo ya ulinzi waliyolipia! Watuoneshe barua hizo!Wamelipia..
Yaani ccm sijui wanajiona kama kundi gani kwenye jamii ya watanzaniaHabari wadau
Inchi yetu haizingatii sheria na maumivu kwa wengine wanaotumia barabara!
Makonda ni kada wa chama kama ilivyo vyama vingine vya siasa!
Siyo mtumishi wa Umma!
Nashangaa sana kuonekana akishurutisha watumishi wa umma kwa kuwahoji pamoja na trafiki kumsafishia njia!
Hata kama chama alichomo kimeshika dola lakini kisheria anatakiwa apeleke taarifa kwenye chama chao!
Makonda ni kundi moja na mnyika,Kigaila n.k hawapaswi kusafishiwa njia, hiyo bajeti serikali inaitoa wapi?
UmerogwaFuture president yaani
Kama yeye ni mwamba aende tu hata ubarozi wa usaKulipia kuamrisha watumishi wa umma waache kazi zao waandamane na makonda?